Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

Safi sana mkuu,yani hadi wale wazee wa kukopi na ku paste wanataman masaa yaende uachie nyingine halafu wa kopi,,na kuweka header kubwa kubwa kwenye blogs na magazeti yao.
kwan mkuu kama the bold asingekopi basi hata wew usingesoma.
 
Msisitizo: Nifollow na hakikisha umesubscribe kwenye uzi huu ili kupata update za haraka nikiweka kitu


OPERATION ZA KIJASUSI ZA KIHISTORIA ZILIZOFANIKIWA ZAIDI

b6d41d0877e130572419fd57795c94e7.jpg



Niliandika kuhusu Oparesheni Entebbe na kuahidi kuwa nitaandika kuhusu Operesheni nyingine za kijeshi mpaka tukamilishe idadi ya Operesheni tano zakihistoria ambazo zina mengi ya kujifunza na kusisimua.



Leo hii nitaandika kuhusu operesheni hii nyingine ambayo ina mengi ya kujifunza na kusisimua.

4928c6571ae857d766955ba10b0b6710.jpg



OPERATION BARRAS







Mwaka wa Utekelezaji: 10 September 2000



Watekelezaji: British Army



Kitengo cha weledi: SAS (Special Air Services)
Hii ni movie aisee nishawahi kuiona weka nyingine tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Unaniita mmbwa wapi nilipo kukosea umesema kumalizia story bonyeza hapa nikabonyeza story ikawa haijaisha nikakwambia mkuu ungemalizia story umetuacha njiani kosa langu hapo nini Mpaka unaniita mbwa kuwa makini usitukane kila mtu ambaye humjui kama hutaki nisome story zako ungeniambia tuu sio kutukama
Mkuu pole sana unajua humu kuna watu wa aina tofauti naomba nimuombee radhi sio busara kutukanana watu wazima jamani af hatufahamiani unaweza kumtusi mkweo humu
 
Inanigomea. Please Pm or Tag. Nakosa operations on time.
Fungua JF kwa browser ukienda kwenye profile yangu utaona kitu kama hiki....

(Mfano hapa nimefungua profile yako ipogolo..)

bf2635363850c82add6feed81c450408.jpg



Tazama hapo nilipozungusha duara... Imeandikwa "Follow"... Bofya hapo...
 
Back
Top Bottom