CHADEMA kuhitimisha Oparesheni 255 Katiba Mpya kanda ya ziwa Victoria leo, BAVICHA wa nchi nzima wapo Mwanza

Acha unafiki bwana nape nnauye. Mimi ni kijana wa CHADEMA lakini nipo Dar es salam. 0 nape unataka bwana mpya?
 
KAULI MBIU,
"VIJANA TUEPUKE KUTUMIWA VIBAYA NA VIONGOZI WENYE HILA MBAYA KWA TAIFA LETU,TUFANYE KAZI KWA BIDII ZAIDI KWA FAIDA YETU NA VIZAZI VYETU NA FAMILIA,UJANA UNAPITA KWA KASI MNO"
 
Acha unafiki bwana nape nnauye. Mimi ni kijana wa CHADEMA lakini nipo Dar es salam. 0 nape unataka bwana mpya?
Ni kweli wewe ndiye bwana div 30? Eti waziri wa habari ana div 4 PT 40 (ALIONGEZEWA MAANA HE WA ZERO KABISA KICHWANI)Tunaongozwa na taahira
 
CHADEMA leo wanafanya Mkutano wa mwisho kabisa Kanda ya Ziwa Victoria ambapo Viongozi Wote Wakuu watahutubia.

Vijana Wote wa Bavicha wako Mwanza kwenye kilele cha siku ya Vijana duniani.
Ni kweli wewe ndiye bwana div 30? Eti waziri wa habari ana div 4 PT 40 (ALIONGEZEWA MAANA HE WA ZERO KABISA KICHWANI)Tunaongozwa na taahira
hapana, wewe kwanza hukai hapa Tz nadhani.......
 
Unaweweseka😄🔥
 
Back
Top Bottom