Oooh. Umeona nini hapa?

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,482
20,428
IMG_20180803_092550_954.jpg
 
Sekta ya usafiri wa anga imekuwa ndege nyingi zinaegeshwa tu zinzasubili watalii kutoka ulaya
 
Unataka zisiwepo nyingi ili ikitua moja watu waende kugombania km wanavyopanda mwendokasi kwenda kimara mida ya saa nane tisa, ndege ziwe nyingi, ule usafiri wa kiboss, ziwe nyiiiiingi km vile tupo Qatar pale Airport
 
Unafahamu gharama za uendeshaji wa ndege kwa kuiweka hapo ni hasara kubwa sio fahari kuegesha ndege inakula pesa hivyo ilivyoegeshwa
 
Nice shot, background nzuri mkuu uliyaotea hayo mawingu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom