Umaskini huleta chuki

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,826
9,533
Kataa umaskini. Jiepushe na chuki.

Anaweza kupita mtu na gari yake nzuri tu kwa sababu huna ukajaa na chuki kali sana.

Ndio maana ukienda vijiweni wanaoongoza kupiga soga ni wakata ufuta na hoja zao huwa ni watu wenye fedha.

Imma wanawaongelea vizuri au vibaya. Utasikia ooh Dayamondi A na B Oooh Bakilesa C na Z Oooh Mwamedi sijui nini na nini.

Utasikia wewee hawezi kuwa na hela hizooo yuuleee.

Kataa umaskini KWA NGUVU. Ili uepuke chuki 'jealous'.

Umaskini hupunguza utu na kujiamini.
 
Roho mbaya au chuki haina kipato, kuna matajiri wana chuki na roho mbaya na kuna masikini hawana chuki wala roho mbaya na kinyume chake.
 
Back
Top Bottom