Kwa kumbukumbu zangu nimemjua sinta nikiwa darasa la tano kwenye 1999 hivi., akiwa msichana tayari na ameanza kuigiza., naamini alikuwa ameshafikisha miaka kumi na nane., sasa mdada mwenye umri wa 30+ nadhani anastahili kuzingatia sana mavazi yake.,Kujiweka nusu uchi haipendezi mbele ya jamii., styles nyingine awaachie watoto walio kwenye foolish age