Oooh gosh...........she is hot...........

yupo kawaida tu!!ila kama ulichonacho hakiendi na wakati,lazma utatamani hata mwandishi wa khabari!!!
tatizo madada zetu wanapokuwa na waume zao wapo ovyo hujui kiuno wala ziwa!!shida inaanza hapo!!
 
Pole....mie ntakuwa sijui maana ya "she is hot"!
 
Alicia_Keys_Jewelry_L.jpg

alicia-keys-hot-5.jpg
yupo kawaida tu!!ila kama ulichonacho hakiendi na wakati,lazma utatamani hata mwandishi wa khabari!!!
tatizo madada zetu wanapokuwa na waume zao wapo ovyo hujui kiuno wala ziwa!!shida inaanza hapo!!

Pole....mie ntakuwa sijui maana ya "she is hot"!

Let me help you, is Alicia keys hot?
 
alicia ame-shred some weight kidogo, but seriously i wish i had a GF like taylor swift, she has my softest spot mtimani. naona ri-ri wamemshika makalio mbele ya kadamnasi, in fact mbele ya drake & chris breezey. sijui ndo gharama/bei ya ustaa?
 
Hivyi vyembamba sitaki hata kuwa na urafiki nao wa kawaida, mambo yote unene ule wa wastani na nido kubwa kiasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom