Oooh...Arovera Mme Wangu!!.

Oooh...Arovera Mme Wangu!!.

saaaawa sijakataa mpenzi!
pole kwa kumzoeeeea hivyo yan mwenzako mimi nilizani utani kuuuumbe kweeli mmefika hii stage?
sasa lile duvet utajifunika peke yaaaako kweli?au ushazoea upweke tayar?maaana nawe mpenzi kwa kuzoea kitu haraaaaka!sikuwezi

hapa sina hali,nahisi hadi presha,mpaka arudi daaah ntakonda
 
Nokia83 nilifikiri na we mzima kumbe mwathirika pia.

Kwa hiyo mtu akikupa ushauri wa chakula cha kupunguza mawazo anakuwa mwathirika?...basi madaktari wote wameathirika.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo mtu akikupa ushauri wa chakula cha kupunguza mawazo anakuwa mwathirika?...basi madaktari wote wameathirika.

hahahaha atleast nimecheka kidogo,sawa dokta,tango na nini?!.
 
hahaha mom fay jamani kosa langu nn

si umeingilia majukumu ya dokta!!,embu njoo ukanisaidie kununua matango,sasa hata hajaniambia yawe na ukubwa gani na unene pia!!.au we unajua?
 
Najiuliza huyo Arovera hayupo sijui utampenda nani kwenye sredi yako mpya.
 
si umeingilia majukumu ya dokta!!,embu njoo ukanisaidie kununua matango,sasa hata hajaniambia yawe na ukubwa gani na unene pia!!.au we unajua?

Makubwa sana hayafai yatakuumiza tumbo chukua la size ya kati kama yangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom