na ushauri wako
Nimempa ushauri rahisi sana hauna hata gharama unajua
kupost huku na huku ulifkr kazi rahisi?
vidole vinauuuuuuuma hivyo wewe!
bora ujiachiage mwaya!
hapa sina hali,nahisi hadi presha,mpaka arudi daaah ntakonda
arovera ndo shem wako,wa ubani wangu.
Nashukuru kwa kunitakia safari njema my special and only one I love, kama nilivokueleza jilinde na maadui wasiopenda mimi na wewe tudum kwenye penzi, Mapenzi yangu kwako yatakua yabaridi na yataupoza mtima wako hayatokua ya moto kama ya wengine yanayowaunguza kila uchao, Love You My Wife.
tafuta chepuko fasta...au wewe ni wale wa mahaba nipoteze?
kuwa makini na huko uendako!!. kumbuka huku umeniacha mkeo,sitokusaliti kwa hlo usijali,nakuombea ufike na urudi salama my heartbeat
ah vidole vimeshapoa?
bas saaaawa!
snowhite mamy we kabila gani? maana kiswahli naona tatizo mpnz.