Oooh...Arovera Mme Wangu!!.

Oooh...Arovera Mme Wangu!!.

Acha ajaribu kutuvuruga lakini hatoweza sisi tuendelee kupanga mambo ya familia yetu achana nae huyu

bby take gud care of urself honey!!..do it for me sakafu wa moyo wangu.
 
Nashukuru kwa kunitakia safari njema my special and only one I love, kama nilivokueleza jilinde na maadui wasiopenda mimi na wewe tudum kwenye penzi, Mapenzi yangu kwako yatakua yabaridi na yataupoza mtima wako hayatokua ya moto kama ya wengine yanayowaunguza kila uchao, Love You My Wife.
aiseeeee...
Mkuu safari njema.
 
Jamani raha kupendwa lol,wapi mupenzi wangee Eiyer kuja kipande hii asali moyo wangu nishakumis mara hii. Huhuuuuu
 
Last edited by a moderator:
wadau vp?hivi musoma mjini makahaba wako sehemu gani?

sasa hapa kuna mkuu wa mkoa ama vipi??!.kaanzishe uzi wako hukoo...musoma na hapa panaingiaje?!.haya nenda tembo beach karibu kidogo na shule ya johnbosco...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom