Heheheheheheeeee hii mpya LolHuo ni ugonvi sina sababu yakuomba kibali cha kukupiga!!Nakuomba ndugu mtu chake rudi nyuma fikiria upya naikiwezekana muombe Paw afute hii sled maana!!ili uhusiano wetu mimi nawewe uendele kuwepo!!!..........Nawewe Preta si haki yako kukaa kimya!!unaonyesha unyonge wako kama nikitu kinawezekana simama sema Hapana ninaye ambaye ni KakaKiiza ...Naomba shahidi yangu ndugu Erickb52.Mimi sirudii na siongei mimi ni vitendo basi...fikiria tena uamuzi uliouchukua usije ukakugharimu kila ra heri!!!:israel:
Huo ni ugonvi sina sababu yakuomba kibali cha kukupiga!!Nakuomba ndugu mtu chake rudi nyuma fikiria upya naikiwezekana muombe Paw afute hii sled maana!!ili uhusiano wetu mimi nawewe uendele kuwepo!!!..........Nawewe Preta si haki yako kukaa kimya!!unaonyesha unyonge wako kama nikitu kinawezekana simama sema Hapana ninaye ambaye ni KakaKiiza ...Naomba shahidi yangu ndugu Erickb52.Mimi sirudii na siongei mimi ni vitendo basi...fikiria tena uamuzi uliouchukua usije ukakugharimu kila ra heri!!!:israel:
Unasemaje?? Preta ??hivi dar express zipo za jioni kwenda..........????Maana unaonge nyuma ya keybord huku unarusha na miguu.....sasa chagua moja kati ya mawili....Turudi kwenye meza ya mazungumzo au na wewe unagoma kama...wasinisikie....au huyo kibrushuti...naniliyuu mtu chake...nifuate mimi ninajeshi kuliko janjaweed!!naomba utuache.......umesahau ulivyoni.......
View attachment 57924
na kunikimbia... mtu chake alinikuta na machozi....akanifuta.....leo hii wewe wataka rusha ngumi......?
tafadhali..........
Nilikuwa napita tu ndg yangu Bishanga! Siruhusiwi?
kupendwa raha jamani asikwambie mtu.....