Inawezekana pengine anauwezo wa kupata taarifa nyingi zaidi (za kifisadi) za NSSF kuliko zile za PPF (or PSPF, GEPF, LAPF etc) lakini hili halitakuwa na maana kuwa huko hakuna ufisadi. Kama kuna ufisadi NSSF au kwengineko ni lazima ufunuliwe bila kuangalia kiongozi wake ni wa imani gani.
Tusije tukafika mahala tunashindwa kuwawajibisha viongozi tuliowachagua/tuliowapa dhamana kwa kuogopa eti watu wa dini yake watadhani ni kwa sababu ya dini yake. Tunayaona haya yanaaza kujitokeza sana katika siku za karibuni. Watawala kwa ujanja ujanja wanajaribu kujibanza kwenye kivuli cha udini. Tanzania ni yetu sote.
Labda wewe huishi Tanzania kwa sie tunaoishi jiji hili la joto tunamfahamu sana Dr Dau na kama ushawahi kusali msikiti wa maamur ni mmoja ya watu wanaokuja kusali pale na msikiti mwengine wa katikati mjini jina limenitoka.
Ila SMU you are absolutely right uislamu sio jina bali imani. Swali linaaendeelea what is your point? Mwanakijiji kila kukipambazuka anatubandikia nakala za NSSF na kuwatuhumu mafisadi wakati mafisadi wa kweli wapo kule PPF hawagusi. Sasa huu ni msimamo gani kisomi? Au ndio ule msemo kunya anye kuku akinya bata kahara??? Sipendelei kuwataja majina yao hawa wakuu wa mifuko yetu ila ndio tuseme Dr Dau Bata na kuku ni William Erio??
Duh! Tunajionea mengi hapa. Tofauti ya hekima na upumbavu ni kubwa sana! "Mungu alituumbia vichwa visivyoangaza,ili awazacho mtu kibaki kusitirika, mtu anapoongea amehiari mawazo yake yawe wazi, yote, mazuri au mabovu huwa peupe. Lakini kuna tofauti kati ya kuwa wazi na kuwa uchi" - Mshindo JF
Kama anapata taarifa za kifisadi (kama zipo maana so far tunapewa taarifa za tuhuma, majarida ya magazeti, taarifa za vikao) za NSSF kwanini asisubiri na za PPF, PSPF, na LAPF ndipo azungumzie mustakabali mzima wa pension fund sector na uchumi wa Tanzania.
Hivi wachangiaji wa huu mfuko (wengi ni waajiriwa katika sekta/makampuni binafsi) wana nafasi yoyote katika kuamua ni kwa namna gani michango yao inatumiwa?
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
AAAAhhh....mdondoaji ,we unaweza kudondoa nini ndugu kama mambo mepesi haya yanakusumbua?
Wewe ukiumwa kichwa huendi kumwona daktari,wasubiri kwanza na tumbo na miguu na moyo viume ili ukienda hospitali uweze ku-adress "mustakabali" wa mwili mzima au sio? Nimekuvulia kofia mzee :lol::lol::juggle:
What is your point?
Sasa tumeanza kumtegemea Mwanakijiji too much! hatujifunzi tu walivyotutenda wakina, Mtikila, Mrema, Lipumba na huyu Kijana. Hili zigo letu wote mwenzio akienda huku wewe unaenda huko, tukija kutana ngoma inogile!
Wewe waongea na MM aongea,mwenzio aweka wazi hekima zake, wewe waweka uchi mawazo yako ya kipuuzi ya udini. Pengine ungekaa kimya ningeendelea kukuheshimu. "Even a fool, when he keeps silent, is considered wise; When he closes his lips, he is considered prudent" - Proverbs 17:28
Wewe waongea na MM aongea,mwenzio aweka wazi hekima zake, wewe waweka uchi mawazo yako ya kipuuzi ya udini. Pengine ungekaa kimya ningeendelea kukuheshimu. "Even a fool, when he keeps silent, is considered wise; When he closes his lips, he is considered prudent" - Proverbs 17:28
Promises 300 MW by year-end
To construct bigger gas pipeline
The National Social Security Fund (NSSF) has decided to invest in power generation, promising to add 300 Megawatts to the national grid before December this year.
NSSF has also shown interest in acquiring the Kiwira Coal Mine in Mbeya and constructing a large gas pipe from Songosongo and Mnazi Bay to Mkuranga, Dar es Salaam, Tanga and Mwanza.
This was revealed yesterday in Dar es Salaam by the Funds Director General, Dr Ramadhan Dau when explaining the institutions future plans to members of the Parliamentary Parastatal Organizations Accounts Committees (POAC) chaired by Kigoma North MP, Zitto Kabwe.
Dr Dau said NSSF has decided to pitch into energy sector in a bid to rescue the country from power problems which have now resulted into endless rationing.
He said their consultant was working on the plans, after which the Fund will announce a tender for purchase of electricity plants.
We have decided to invest in power due to on-going problems. Our aim is to start producing electricity by end of the year, he said. He told the MPs that the electricity generators will be fixed in Dar es Salaam.
Concerning Kiwira Dr Dau said they have decided to purchase the mine after the government failed to repay the long outstanding debt of USD 31million.
He said initially the government borrowed a total of USD 7 million in 2007 to invest in Kiwira Coal Mine with a promise to repay it after six months, but it had failed in its commitment.
He said the fund is ready to take the mine with all its debts and start afresh. Dr Dau said the mine will produce efficiently under the institution.
He however, he told the MPs that NSSF plans to construct a huge gas pipeline, to transport the item from the southern regions. He said the current line has no capacity to increase the flow of gas to meet the growing demand.
He said the pipeline will increase the gas flow for both electricity and domestic consumption, adding that it will facilitate power production at Dar es Salaam and Mkuranga in the Coast region, where they are going to fix another plant.
We expect to start implementing these gas projects in two years, he said.
He also said that NSSF plans to start construction of the long awaited Kigamboni Bridge this year. He said the bridge will be constructed at the cost of USD 120 million.
He said the delay was caused by lack of funds after NSSF had unsuccessfully requested for funds from Holland. He said that they were requesting a total of EURO 22 million.
Meanwhile, the committee chairperson, Zitto Kabwe criticised the government for failing to repay in time, money it borrowed from public institutions.
Kabwe wondered whether the government through Dar es Salaam City Council would be able to repay the funds it had taken from NSSF for construction of the Machinga Complex.
He said the Complex was yet to be fully functional as petty traders dillydallied in leasing rooms due to high rental fees.
The complex is not functioning. I wonder whether you will accomplish the plan of constructing similar buildings when its president has already promised the same for petty traders in Mwanza, said Zitto.
Members of Parliament have been pushing the government to allow NSSF to invest in power which includes ownership of Kiwira Coal Mine.
Last December, the Minister for Energy and Minerals, William Ngeleja said Kiwira would be placed under Tanesco and Stamico, but quickly added that discussions between responsible parties would give a clear direction of the issue.
THE GUARDIAN
My Take:
Not convinced yet. Probably I need to convince them of why their arguments are not convincing enough and why my position is better!
Au kuna jambo ambalo hatulijui?
kati ya mifuko hii miwili naona PPF imegubikwa na kila aina ya kashfa lakini naona mwenzetu amekuwa mstari wa mbele kuwaandama sana NSSF
haikatazwi constructive criticism lakini naona NSSF imekuwa kama vile easy target na ki ufanisi naona kama NSSF seem to be doing far better than PPF kama mwenye kujua undani naomba mniweke wazi hata kwenye PM ili nipate picha kamili
Au kwa sababu mmoja anaitwa WILLIAM erio na mwingine anaitwa RAMADHANI dau?
Ukienda kwa daktari kwanini huchukua notebook akaanza kukuuliza maswali mbali mbali wakati umeenda kwa shida ya kuumwa na kichwa?? Unaweza kugundua ugonjwa:tongue: kwa kuangalia sehemu moja ya mwili? Kumbe tunatofautiana ufahamu endeleea na mambo mepesi mepesi ndio yaliyotufikisha hapa Tanzania kutafuta short cut.
Muulize Mwanakijiji William Erio anafanya nini kule PPF au hakuoni kila nikimuuliza swali hili mwanakijiji anakimbia kulijibu kwasababu anajua ana lake NSSF . Au mwanakijiji tatizo ni Dr RAMADHAN? Pengine hili linakusumbua.
'Urs is better'. Ivi we mwanakijiji..lol.. Are you ok? You should get yourself checked out dude. Hint: Delusions of Grandeur.