Ooh my God it can't be!

Ooh my God it can't be!

Yo Yo

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2008
Posts
11,210
Reaction score
1,738
attachment.php

JIACHIE
 
Attachments

  • 6.JPG
    6.JPG
    24.7 KB · Views: 214
Tatizo hakuna speed limit na hakuna sheria ya ku-overtake.

Ukiona hali ipo hivyo anza kutafuta exit yako.
 
madereva hopeless kabisa...hio mistari inaonyesha hairuhusiwi ku ivertake maeneo hayo....

..abiria lakini wanapenda speed wanawahi......
 
Lakini tunajongea na naona kapeti tunazo.

Bado tunahitaji alama nyingi tu za usalama barabarani.
 
madereva hopeless kabisa...hio mistari inaonyesha hairuhusiwi ku ivertake maeneo hayo....

..abiria lakini wanapenda speed wanawahi......

NA hivi Huwa WanawAHI WApI HAWA mAderVA?.MaanA SI wANAMUDA MAALUMU wa kufika Dar au kokote wanakokwenda?.Ndiyo maana ajali zipo nyingi sana kwa mtindo huu wa kuwahi abiria.Hii tamaa ya pesa inatumaliza sana.
Licha ya hivyo hizo double lanes maana yake hutakiwi kuingia upande wa pili wa barabara,lakini wala hawafuati sheria.
 
Hiyo ndo hali halisi halafu madereva wa hao mabasi wakikutana na polisi mwendo unapungua kama vile wananyata halafu wakiwapira mwendo mdundo. Inatisha!

Yo Yo, hilo ni basi la kampuni gani?kama umeliona vizuri
 
Yo Yo, hilo ni basi la kampuni gani?kama umeliona vizuri
nimejaribu ku zoom zijalipata vizuri...

.....kuna bus moja la Saibaba la saa 6 mchana dar-arusha wanapanda sana wafanyabiashara wa kichaga hawa wanapenda speed kali ati wanakimbiza pesa.....
 
...😀 duuuuuuuuuuuh!

...huyo dereva wa hilo Bus ana leseni ya kununua nini? hizo double lane hazioni kuwa haruhusiwi ku-overtake? ...mbaya zaidi anamchomekea mwenye hiyo suzuki ubavuni kwake, laaaa laha lah alah!!!!! 😱

na hiyo Landrover inayoonekana ya kujifundishia vipi, I hope haikuwa inaendeshwa na mwanafunzi katika hiyo highway...
 
nimejaribu ku zoom zijalipata vizuri...

.....kuna bus moja la Saibaba la saa 6 mchana dar-arusha wanapanda sana wafanyabiashara wa kichaga hawa wanapenda speed kali ati wanakimbiza pesa.....

Haina kwere mwana! Natumaini ujumbe unawafikia walengwa vizuri hata kama hatujalitambua maana hivyo kila kukicha michezo yao madereva wetu wa mabasi!
 
nimejaribu ku zoom zijalipata vizuri...

.....kuna bus moja la Saibaba la saa 6 mchana dar-arusha wanapanda sana wafanyabiashara wa kichaga hawa wanapenda speed kali ati wanakimbiza pesa.....

Yo Yo hujatulia. Lol.
 
Hilo basi kama scandnavia vile au Fresh ya shamba
Hilo basi ni la Sumry bila shaka. Hawahi abilia maana safari za dar- Mikoani huwa hakuna kugeuza siku hiyohiyo. Sana sana nafukiri anaiwahi nyumba ndogo. Si unajua tena Madereva wengi kwa kujenga vibanda pembeni hawajambo
 
Hali kama hii imenikuta sana nikiendesha. Mara nyingi imenibidi kusimama, au kutoka pembeni mwa barabara kuwapisha hao 'miamba wa barabara'!
 
sheria zote za barabarani zipo, lakini kinachoonekana wazi ni labda madereva wahajui nini maana ya michoro hiyo, au wanaipuuzia, wamesahau, ni vihiyo amaabiria wameshidwa pia kuwakemea maana wanapenda na kushabikia mwendo wa kurusha roho na kuhisi msisimko wa kiaina tumboni pale basi ama garu linapokwenda kweney mteremko...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom