wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,832
Gari za kazi hizo,ila zinaingiza ndani vumbi hatari hata ufanye nini.
Real men drive three pedalsKuendesha manual sio kutokuwa ktk wakati...watu wavivu hata kukaa huwa wanaona taabu/uvivu...iko hivyo kwa wasiojua au kupenda stick transmission pia...a man like me kuendesha auto car ni kashfa nzito

Mishipa kichwani imetoka hatari,inaonekana ni mission nzito.
Discovery 3 imekaa poa sana wazeeView attachment 1244908