Ooh Landrover, I love you so much

N'yadikwa

JF-Expert Member
Aug 10, 2014
6,899
9,736
Ni wachache sana tunazielewa hizi mambo na utamu wake. Kwa wale ambao magari ni adventurous implement tunaelewana. NAOMBA PORI NIENDE

10jan%20005.jpg
 
Nazilubari sana aisee.

Gari za kibishi unakuwa unajiamini unapita kokote pale
 
Kuendesha manual sio kutokuwa ktk wakati...watu wavivu hata kukaa huwa wanaona taabu/uvivu...iko hivyo kwa wasiojua au kupenda stick transmission pia...a man like me kuendesha auto car ni kashfa nzito
Kubali mabadiliko mkuu. Nenda na muda. Ya nini kuhangaika kubadilibadili gia wakati maisha yamerahisishwa na hayategemewi kurudi nyuma?
 
Hizo kuna hi na lo kwenye hiyo rungu nyekundu huyo njano ni link lock gear ya 4WD ukiwa ktk low range au high range wakati unapotaka kutumia 4wd kuna namna ukiingiza hiyo red njano ina jifyatua,zinahusiana hizo...kwa magari ya auto function hiyo ipo kwenye overdrive switch etc
Hizo ndude nyekundu na njano ni nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom