Onyo

Onyo

Hivi ni kwann hata maprof,madoctor na walim wana2mia hii kitu? Hawajui madhara?
 
Sigara badala ya kutoa moshi inatoa maziwa
 
huku chuga wanavuta sana natamani wangeona ili waache mara moja
 
hii sigara mvuta na mvutwaji mbona wote wanaathirika?
 
Hiyo sigara imeshindikana kuachika, madaktari ndo usiseme
 
Ahaa! i understood. he used symbolic language men!, it means that is not cigalate which you know.
 
wanatuonea wivu na burudani yetu, mwenyewe nikipuliza moshi hewani huku nimefumba macho, hata ukinipiga kwenzi sisikii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom