TEKNOLOJIA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,305 Reaction score 2,563 Feb 1, 2016 #1 Ukikiona choo ndotoni usikitumie tafadhali,jua ni mtego huo!!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 1, 2016 #2 sijaelewa
TEKNOLOJIA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,305 Reaction score 2,563 Feb 1, 2016 Thread starter #3 Nimerekebisha,hope umeelewa sasa! miss chagga said: sijaelewa Click to expand... miss chagga said: sijaelewa Click to expand...
Nimerekebisha,hope umeelewa sasa! miss chagga said: sijaelewa Click to expand... miss chagga said: sijaelewa Click to expand...
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,738 Reaction score 12,424 Feb 1, 2016 #4 mtego wa nini? kujikojolea au...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 1, 2016 #5 TEKNOLOJIA said: Nimerekebisha,hope umeelewa sasa! Click to expand... hapo sawa .. nikikitumia kinakuwa na madhara gani?
TEKNOLOJIA said: Nimerekebisha,hope umeelewa sasa! Click to expand... hapo sawa .. nikikitumia kinakuwa na madhara gani?
MR MAJANGA JF-Expert Member Joined Oct 4, 2014 Posts 3,524 Reaction score 10,817 Feb 1, 2016 #6 miss chagga said: hapo sawa .. nikikitumia kinakuwa na madhara gani? Click to expand... Ukikojoa utakuwa umejikojolea na ukinya utakuwa umejinyea kwa hiyo ukiamka utakuta mambo yamesha haribika
miss chagga said: hapo sawa .. nikikitumia kinakuwa na madhara gani? Click to expand... Ukikojoa utakuwa umejikojolea na ukinya utakuwa umejinyea kwa hiyo ukiamka utakuta mambo yamesha haribika
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 1, 2016 #7 MR MAJANGA said: Ukikojoa utakuwa umejikojolea na ukinya utakuwa umejinyea kwa hiyo ukiamka utakuta mambo yamesha haribika Click to expand... ha ha ha ha ha hapo sawa na ni kweli kabisa
MR MAJANGA said: Ukikojoa utakuwa umejikojolea na ukinya utakuwa umejinyea kwa hiyo ukiamka utakuta mambo yamesha haribika Click to expand... ha ha ha ha ha hapo sawa na ni kweli kabisa
M Marquee Member Joined Dec 28, 2015 Posts 31 Reaction score 27 Feb 1, 2016 #8 Hahahaha hii kweli kabisa ishanitokea Mara kadhaa alafu kukitumia inakuwa burudani kumbe unaharibu mambo.
Hahahaha hii kweli kabisa ishanitokea Mara kadhaa alafu kukitumia inakuwa burudani kumbe unaharibu mambo.
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 35,757 Reaction score 86,401 Feb 1, 2016 #9 nikikiota si nakojoa kwa pembeni na kitandani si ntakojoa pembeni..!
Kirchhoff JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,939 Reaction score 8,883 Feb 1, 2016 #10 tatizo mara nyingi kinavutia na hujui kama unaota. labda uanze mazoezi kila ukienda chooni unajifinya ili ukiwa usingizini ujifinye kwanza ushtuke!
tatizo mara nyingi kinavutia na hujui kama unaota. labda uanze mazoezi kila ukienda chooni unajifinya ili ukiwa usingizini ujifinye kwanza ushtuke!
stwita JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 1,340 Reaction score 761 Feb 1, 2016 #11 Hii inahusu vikojozi