Onyo: Uvutaji sigara ni hatari kwa afya yako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo: Uvutaji sigara ni hatari kwa afya yako

Discussion in 'JF Doctor' started by Ulimbo, Nov 21, 2009.

 1. Ulimbo

  Ulimbo JF-Expert Member

  #1
  Nov 21, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 678
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hivi hili linaelewaka kweli?
   
 2. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ipi hiyo?
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Nov 24, 2009
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  sigara gani unamaanisha?
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kwani kuna aina ngapi za fegi?
   
 5. Ambassador

  Ambassador JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2009
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 932
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Fegi kubwa na ndogo; orijino na ya kienyeji!
   
 6. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hahahahah, duh mkuu kweli hapo umeainisha haswa, maana zote zinaingia kwenye makundi hayo uliyotaja
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,614
  Trophy Points: 280
  Na Pombe nayo ni hatari Hivi hili linaeleweka kweli?
   
 8. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #8
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Halieleweki labda serikali ziamue kupiga marufuku matumizi yake ambayo yatasababisha kukosa ajira watu wengi kuanzia mashambani hadi viwandani pia wategemee maandamano ya wavuta sigara wakiongozwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu,mashirika ambayo hayawatetei wanaoathirika bali kinyume chake.
  NB.SIGARA NDIO BIDHAA PEKEE YENYE KUTOA TAHADHARI JUU YA MADHARA UYAPATAYO IWAPO UNATUMIA,HAKUNA BIDHAA NYINGINE YENYE TAHADHARI KAMA HIYO(naweza kusahihishwa)
   
Loading...