Onyo:nnape nnauye usije kuwa kama mch christopher mtikila | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Onyo:nnape nnauye usije kuwa kama mch christopher mtikila

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 2, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Ndugu wapendwa,kaka yangu nnape
  kwanza nakupa hongera na ujasiri uliokuwa nao na ambao mpaka leo hii waendelea kuwa nao
  hakika kama mungu amependa kuibadilisha ccm basi itaanzia mikononi mwako..nimefurah na hoja zako lakini
  kama ndugu wa karibu ni vizuri kujulishana ni kitu ambacho ufikriii kukifanya ila kama bin adam
  huwatokea hata wale wasio kuwa na dhamira hiyo na hjivyo kukutoa maanani kabisa

  mch mtikila/c
  huyu bwana katika vitu ambavyo mungu alimppa ni mdomo hakika huyu bwana wakati anawaka kipindi cha uchaguzi
  na kudai anagombea urais nilikuwa wa kwanza kumpigia kama kesi yake ingeshinda ...si jambo baya kukumbusha
  pastor chriss alifikia kuitukana serikali ya kikwete na watu wake na wahindi waliokuwa wakimdhamini ccm
  si hilo alienda mbali nakutaja kuna wahindi wanamtumia mdogo wetu ridhiwani kikwete kujitayarisha thr babake
  sitaki kuamini wala kuchunguza maana naweza pata presha ila ninachokumbuka akiwa anamshambulia rostam aziz
  akuna ambae angeamini ipo siku past chriss atamfwata kabilionea chetu rostam aziz najua umekasirika ukweli
  unabaki huo kwamba ndie kabilionea kachache cha tanzania kalicchoweza kutoa hela benki kuu bila kujulikana
  ama kufanyiwa move na mtu yoyote ametoaje sijui uliza kama kuna alieefungwa wa bot...?amwombe hela million 3

  inangawa mpaka sasa sijaamini alimwomba ama alifwata kupewa atulie lakini kumbuka hawa watu wana akili kukupa million 200 ulipe kwa miaka 200 akijua utakuwa umekufa wao si shida ndicho kilichomtokea past chriss alisainishwa bila kujua siku akiendelea kuropoka watu wale wale watarudi na makaratasi kuelezea umma huyo anaepiga kelele mbona alikja akapewa kiasi kadhaa na kama unakumbuka tokaa siku hiyooooooooo pepo wachafu wa kutetea nchi hiiiii walimtokka rasmiiiiii
  na mpaka leo ajajibu zile hela amelipa ama anadaiw abado

  maoni yaangu nakuomba kama kaka ukishindwa kabisa hata chai ya asb pitia pale qtrs za polisi morocco unywe chai najua kuchafu lakini mbio zako twaweza rudi duniani kama wale wenzetu wa lugalo na kilwa road usikubali kabisa kabisa kurubuniwa na hawa nyoka kaka yangu watatutia aibu wanattoa kwa ushahdi sio wajinga

  mungu akubariki ukaze mwendo
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 2, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Kama mnakumbuka mdogo wetu kwelii alipewa gari kubwa ya garama akawa anazunguka nayo natumaini babake alimwona nayo na ilikuwa ikilala ikulu lakini alilalama past chriss lile gari aliliuza ingawa wanadai lilirudishwa kwa wahindi sijaona
  mtu akiomba chenchkwenye kapu la sadaka anyway alikuwa anabadilisha watu ila kiukweli tangu rostam aite waandishi awaeleze makaratasi ya mkopo wa chriss akuna alie naimani nae hata kidogo na kama umme note anakuja kuibuka wakati waa uchaguzi tena awangalie nani wa kuwakomba ..si vyema tukae na watanzania wahuni kama hawa bora wahindi wa rite kuliko kigeu geu kama huyu kukua ama kukumaliza ni dk moja...hope alitatokea kwako kaka nnape jitahdi sana kama mkristo piga maombi aijlishi dini gan kuwa makini sana kuna wabunge walipgwa kiharusi mpaka leo kila wakilala wanawaota wenzao walioko bungen sipendi iwe kwako na mkono w amungu usikuache
   
Loading...