Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

Onyo; Men's talk... "inawahusu wanaume pekee..!!

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Waungwa poleni kwa kazi na miangaiko ya kutwa nzima hop mungu anawajalia jema kila kukicha...

Back kwa topic...

Wanaumeee jamani hali ni mbaya sana,sijui tumekosea wapi ktk suala zima la mahusiano kwakweli.?

Kila kukicha tunaandamwa na wakina {hawa} kua hatujui kutimiza majukumu yetu kwao,pumzi ndogo eti wao route ndefu, jamani hivi ni kweli haya wayasemayo.? Au ni tamaa zao tu za kutaka mambo makubwa kabla ya wakati.?
Na kuichukilia ngono ndio wazo lao kuu ktk mapenzi alafu mambo mengne ya maendeleo wameyapa kisogo.?

Je Nikweli kama wasemavyo tunakumbwa sana na matatizo ya nguvu za kiume au ni uchovu wa shughuli zetu ngumu za kila siku katika kuwatunza wao ndio zina tufanya tuwe tunaitaji kupumzisha mwili,alafu wao wanadai chezoo tu matokeo ndio wana paka mbovu.?

Embu tufunguke jamani tunakosea wapi sisi wanaume.?
 
Hainihusu hii.. Pamoja na uchovu wote wa pilika za kutwa mzima napiga 5 per night,nmekulia kwa babu mimi,asubuhi Nguna la mtama,mitindi kibao,magimbi mwanzo mwisho jioni mazoezi-kazi kwenu ma blazaman wa chips ,mayai na ma bites mnaolala hadi saa tano asubuhi ndo mnaamka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
samahani mkuu kwani wewe ni ke au me.?
 
punguzeni viepe madogo,watoto wa bush ndio maana tuna wagongea madem zenu coz tunatumia vitu natural tu kama vile asali,mihogo,karanga n.k kuliko nyie wa mjini mliozoea kula mibaga tu iliyokaa kwenye friji miezi kadhaa,sasa unategemea utaweza vipi kumpeleka mchakamchaka chinja manzi yako hadi aombe pooo.
 
Hainihusu hii.. Pamoja na uchovu wote wa pilika za kutwa mzima napiga 5 per night,nmekulia kwa babu mimi,asubuhi Nguna la mtama,mitindi kibao,magimbi mwanzo mwisho jioni mazoezi-kazi kwenu ma blazaman wa chips ,mayai na ma bites mnaolala hadi saa tano asubuhi ndo mnaamka

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

ufahari wa mapenzi sio idadi nyingi ya mabao wala sio kuchukua muda mwingi sana kabla ya kupiga bao, ufahari wa mapenzi ni kumridhisha mpenzi wako. hapo itategemea yeye anaridhika kwa kufanyiwa nini ktk mapenzi kwani kila mtu ana namna yake na kipimo chake.
 
Ph-25 hakuna sayari salama siyokuwa na changamoto, duniani kila binadamu ana kipimo chake cha kuridhika kama ilivyo kipimo cha uzuri kuwapo machoni mwa kila mtu. hapa naamanisha kama mpenzi wako anapenda pepsi usitarajie ataifurahia cocacola yako, ili umpate wa kukufurahia mpate anayependa cocacola hapo mtafurahia na wote kudare for more. ukiona wanalalamika ujue wamelazimisha kinywaji wasichokipenda labda kwa njaa zao au tamaa zao.
 
Last edited by a moderator:
kuchungulia muhimu afu mwanamke umbea sunna

Hongera bi amu!Wewe ndo mwanamke wa kwanza kuchangia ingawa ninaamini sio wa kwanza kuchungulia!Wapo wengi tu ila wanaogopa tusiwasute!Uliyoyaona na kuyasikia yaache hukuhuku bibie!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom