ONYO: Makongoro Nyerere kabla hujafa hujaumbika

Mbona humalizii. Mwambie Makongoro sisi watanzania ndio waamuzi na tutampa mgonjwa kwani yeye inamhusu nini. Mbona CCM ndio ngonjwa zaidi kama chama sheusi ya mtu mmoja!
 
Mungu hana upendeleo. Makongoro ulichopanda utavuna.

Ipo siku Mungu atamuinua mtu wa kukufanya ufanyiwe ulichofanya. Hili litatokea hakika.
 
Makongoro hana tofauti na Lusinde


1. Kikwete naye mgonjwa, hilo mtakataa? Tena huyu alikuwa anadondoka mwenyewe wakati wa kampeni. mbona akawa Rais?
2. Magufuli pia ni mgonjwa. Tukumbuke Ujerumani akiwa UDSM? Tena huenda ugonjwa wake ni wa hatari zaidi kuliko wa Lowassa. Tafadhali Ma-CCM nyamazeni, mtaumbuka.
3. Ni upumbavu (kama alivyotumia jina hilo Bw Mkapa jana) kung'ang'ania ugonjwa wa mtu katika siasa. Nani mzima ndani ya CCM who is above 50? HAKUNA?
 
Brother pole sana ni kweli Lowassa ni mgonjwa......huo ndio ukweli na sio kwamba watu wanafurahia yeye kuumwa ila mzee anaumwa yule jamani.

na wewe marehemu mtarajiwa unaweza tapika kiasi hiki as if una uhakika kama utafika october? Funika ilo bakuri lako uwezi jua who is the first
 
Brother pole sana ni kweli Lowassa ni mgonjwa......huo ndio ukweli na sio kwamba watu wanafurahia yeye kuumwa ila mzee anaumwa yule jamani.

Hebu tuwekee vyeti vyake hapa....nasisi tuamini vinginevyo peleka uPUMBAVU wako LUMUMBA
 
Tatizo nn mtu kuambiwa mgonjwa ndio tatizo???? ukawa tumesimamisha Jina kubwa ila hali yake hairidhishi tuweni wakweli fuatilia hotuba ya kujiuzulu ya 2008 na hotuba baada ya kuchukua fomu ya urais ni watu wawili tofauti au labda tuseme mh lowassa ni mzee sana kuliko mh ali mwinyi si ndio????

Nani ataishi milele kwenye hii NCH
 
Brother pole sana ni kweli Lowassa ni mgonjwa......huo ndio ukweli na sio kwamba watu wanafurahia yeye kuumwa ila mzee anaumwa yule jamani.
Mbona kikwete kaongoza miaka 10 akiwa mgonjwa na anamalizia, au hujui anaumwa...? Je wewe mzima?
 
Kwa masikitiko Makubwa sana, nimemsikia mtoto wa rais wa Kwanza wa Tanzania, hayati baba wa taifa, Makongoro Nyerere siku ya leo pale Jangwani wakati wa uzinduzi wa kampeni za urais za CCM akitoa kauli za kejeli, majigambo na vijembe kuhusu Afya ya Edward Lowassa.

Makongoro kwa mbwembwe kabisa na mizaha alikuwa akiwashawishi watu waliokuwa wanamsikiliza pale, wasijaribu kabisa kumchagua Edward Lowassa kwa sababu ni mgonjwa!
Makongoro anadhani ugonjwa wa mtu ni jambo la kufurahia na kushabikia.

Napenda kumkumbusha Makongoro kuwa wakati baba yake(Hayati Mwalimu Nyerere) anampigia kampeni Benjamin Mkapa mwaka 1995 nchi nzima, tayari mwalimu alikuwa ameshagundulika ana ugonjwa wa Kansa ya damu(Leukemia) na wataalamu wake walishamwambia kuhusu Poor Prognosis ya hali hiyo(He was told that, he would die within six years after been diagnosed to have Leukemia). Hakuna mtu alikuwa anajua hilo wakati huo zaidi ya Mwalimu mwenyewe, Daktari wake binafsi(Professa Mwakyusa) labda na wasaidizi wake wa karibu sana wa Mwalimu. Lakini Mwalimu alionekana kwenye kampeni za CCM 1998 akiwa mwenye Afya njema, Furaha na Uchangamfu mkubwa sana. Kwa kifupi tu, tambua ugonjwa wa mtu ni siri ya mtu binafsi na wala sio jambo la kushabikia au kushangilia.

Makongoro tambua siasa ni hoja, tena hoja zenye nguvu. Utu wa mtu ni jambo la muhimu sana. Chunga sana ulimi wako. Ipo siku mwenyezi Mungu atakufundisha kitu katika hili ulilolisema leo pale Jangwani.

Ugonjwa sio jambo la kugurahia
Lakini unapokuwa mgonjwa usijilazimishe kugombea majukum makubwa yasiyoenfana na afya yako

Afu kingine ukawa mnakataa sio mgonjwa
wakati anaumwa

Ebu twenden na mkakamav magufuli

Mzalendo

#hapa kazi tu
Kujikongoja ukawa
 
UKIWA UKAWA WEWE NI MPUMBAVU.

Kutokana na SUGU 2013 (BUNGENI) - alitoa maana ya upumbavu Kwa kusema hivi "NAOMBA TAIFA LIELEWE UPUMBAVU SIO TUSI, NI STUPIDITY, LACK OF KNOWLEDGE OF UNDERSTANDING"
Kwa wale wenzangu tusiojua Kiingereza (Sugu ana maana kukosa maarifa na uelewa ndiyo maana sahihi ya UPUMBAVU.

Hivyo UKAWA wote NI wapumbavu kwasababu zifuatazo

1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI.

2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni bila kujua wanauza Nchi.

3. Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM.

4. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.

5. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.

6. UKAWA wote ni wapumbavu na marofa Kwa kupingana na kauli zao wenyewe juu ya UFISADI wa Lowassa.

7. UKAWA wote ni wapumbavu Kwa kushindwa kujua na kukemea ajenda ya siri iliyoanzishwa na chief Mareale na kuendelezwa na Mtei na 2012 kusimamia na Mpumbavu Joshua Nassari.

8. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kushindwa kusimamia misingi ya uanzishwaji wa Ukawa na kuwapuuza waasisi wa UKAWA yaani Prof. Lipumba na Dr. Slaa.

9. UKAWA wote ni wapumbavu kwa kuwa kichaka cha kuficha wezi, mafisadi na wapumbavu wengine.

10. Ukiwa mwana UKAWA wewe NI mpumbavu Kwa kukubali kuburuzwa kama "mbuzi" na kushindwa kuhoji Lowasa NI msafi toka lini? Slaa, Mbowe, Lema, Mnyika, Lissu wanamtofautishaje Lowasa wa 2008 na 2015.

Jitafakari, Upo Ukawa hadi sasa? Basi wewe NI mpumbavu Kwa kushindwa kunielewa na kushindwa kujua nia ya mafisadi,Mabepari na wa walanguzi kumpeleka Lowasa ikulu.

Acha kuwa mpumbavu na lofa.

UKAWA NI

U - UMOJA
KA - KAMILI WA
WA - WAPUMBAVU

KARIBU CCM MPE KURA YAKO MAGUFULI
#TEAM TINGATINGA
#HAPA KAZI TUUU
#SITAWAANGUSHAA
#MAGUFULI 💚💚✅✅
#CCM ✅✅✅✅

UMOJA NI USHINDI UNGANA NA CCM TEAM YA USHINDI

BY MTANZANIA MZALENDO
INNOCENT MBILINYI MAGUFULI
MTOTO WA SAMIA SULUHU NA MJUKUU WA DR SHEIN PIA NI KITUKUU CHA CCM IMARA NA ZALENDO.

#TUKUTANE OCTOBER 25
 
Hivi huko kwenu kuzimu CCM, wagonjwa wangapi wanapelekwa India kwa mwaka?

Acheni kujitoa ufahamu! Ugonjwa haupigi hodi! Haya tuelezeni MAGUFULI alienda kufanya nini kwa BABU WA LOLIONDO kama sio mgonjwa! Maana tuna picha zake akipata kikombe!

Bahati nzuri LOWASSA wetu hana hata upele, ni mzima wa afya!

CCM kama mmeshindwa kampeni za kistaarabu, tazameni namna ya kufanya! Kampeni za kukejeli Afya za watanzania wengine zitawaumbua! NAPE anaweza kupata kipindupindu ghafla! Mtasema wana MTAMA wasimchague?

Hivi ndo wewe mwenyewe au macho yangu?
 
Inahusiana vippi hali ya Lowassa na Mwalimu Nyerere au Makongoro? Huyu Lowassa anagombea Urais akiwa mgonjwa, afya yake mbovu kusemwa hivyo imekuwa kosa? hata mpirani huwezi chagua mchezaji mbovu ati kwa sababu hujafa hujaumbika!.. Kama Lowassa mgonjwa wananchi wana kila haki ya kufahamu maana ni yeye anayegombea Urais.
- Nyerere alipokuwa mgonjwa, hakugombea urais tena bali alienda kutibiwa na kupumzika nyumbani kwake Butiama. haya unayoayasema ni kama unamtukana yeye na sio Lowassa..
Mkandara, taarifa za ugonjwa wa Lowassa umepewa na daktari gani?
 
Kheri na Shari zote hutokana na Mwenyezimungu,aliyeumba mbingu na nchi.Mh.Mako umekuwa Mbunge wa ARK, mazuri na mapungufu yako yalionekana bayana na hakuna aliyewahi kuyazungumza hadharani,fikra za wewe kupata cheo kwa kumuumbuwa/kumtusi binaadamu aliyeumbwa na Mwenyezimungu sidhani kama ziko sahihi.Tunajuwa mke wako ni Mh.Jaji na tunaujuwa mchango wake mkubwa kwa watu wa kijijini kwao na hata kama atasimama kugombea ubunge nina uhakika wa mia kwa mia huyu mama atapita bila ya kupingwa,kwa nini sasa wewe uwe kinyume na familia yako...???nina amini Mwenyezimungu ni mwenye huruma na ukitubu makosa yako kwa dhati atakusamehe.
 
Back
Top Bottom