Onyo la Kongosho kwenye kiwanja chake

he he he he, badili tabia, ujue ile mipweint huwa naamua kuimwaga kwa ID yangu ya EMT, mie kipanga hasa kule siasa.

Angalizo: Modi msije mkaunga ID natania tu maana kuna siku yangu iliungwa ya Buchanani afu ikatenganishwa. (natania tu hata hivyo hapa ni chit chat :))
@ma2mbo,
unamaanisha EMT ni Kongosho?
 
he he he he, badili tabia, ujue ile mipweint huwa naamua kuimwaga kwa ID yangu ya EMT, mie kipanga hasa kule siasa.

Angalizo: Modi msije mkaunga ID natania tu maana kuna siku yangu iliungwa ya Buchanani afu ikatenganishwa. (natania tu hata hivyo hapa ni chit chat :))

Mie naona waunganishe tuu hizo ID halafu password iendelee kuwa ya EMT ili niweze kusoma PMs zako.
 
Mtoboasiri, nataka kukutoga sikio?

Na mataputapu nakupa bure.

Kongosho, kuna uhusiano gani kati ya mataputapu na sikio? Naomba uniambie mlichokuwa mnakunywa usiku huu (na yeyote ulie/uliekuwa nae) ili nami kesho nikanywe! Na ukiniambia nitam-covince "kibogoyo" mwenzio Mwali tukanywe nae.
 
Last edited by a moderator:
ujue mataputapu yanaongeza nguvu za maskio.

Ndo hivo.

Back
Top Bottom