Onyo la Kongosho kwenye kiwanja chake

Onyo la Kongosho kwenye kiwanja chake

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,357
Bango hili nimelikuta live leo hii kwenye kiwanja cha Kongosho maeneo ya upande wa pili wa Ferry ya Kamanga kama unavuka ziwa Victoria ukitokea Mwanza mjini kuelekea Sengerema/Geita. Kaaazi kweli kweli.

DSC01064.JPG
 
Nakubali ni kweli maana Kongosho hana TAFSIDA,
Mkono anaita mkono na mguu anaita mguu
 
Last edited by a moderator:
Kongosho nakusubiri hapa posta kwa muuza soda.
 
Last edited by a moderator:
Bango hili nimelikuta live leo hii kwenye kiwanja cha Kongosho maeneo ya upande wa pili wa Ferry ya Kamanga kama unavuka ziwa Victoria ukitokea Mwanza mjini kuelekea Sengerema/Geita. Kaaazi kweli kweli.

DSC01064.JPG

Stricty prohibited...
 
Hahahahaha Kongosho popote pale ulipo naomba ukuje hapa unambie imekuwaje umekizalilisha kiwanja chetu namna hii? Hujui mivinyesi na mimikojo ndo ingetusaidia kupunguza gharama za mbolea tutakapoanza Kilimo Kwanza?
 
Last edited by a moderator:
mchezo wa kujianzishia sredi alafu unakuja kujijibu kumbe bado upo!!!
 
ha ha ha, EMT unajua hujanitendea haki?

Sikuhojiwa na kamati kama hili bango nimeweka mwenyewe au ni mpinzani wangu niliyegombea naye udiwani hapo Katunguru.
 
Last edited by a moderator:
hivi Mwali na kibabu kwa nini mmeamua kunichafua?

Bango hili nimelikuta live leo hii kwenye kiwanja cha Kongosho maeneo ya upande wa pili wa Ferry ya Kamanga kama unavuka ziwa Victoria

ukitokea Mwanza mjini kuelekea Sengerema/Geita. Kaaazi kweli kweli.

DSC01064.JPG
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha, EMT unajua hujanitendea haki?

Sikuhojiwa na kamati kama hili bango nimeweka mwenyewe au ni mpinzani wangu niliyegombea naye udiwani hapo Katunguru.

Limekutwa kwako. Nai aliweka is none of our business.
 
ha ha ha, ujue hiki kiwanja changu dili sana?
Kiko karibu na Genji(mmiliki wa vivuko)

ila jamani nimesoma kayumba itabidi mnielewe tu.

Limekutwa kwako. Nai aliweka is none of our business.
 
Konnie kiukweli mi sioni kazi katika kuandika,ila kutundika sasa... au uliwapa tenda ya kuandika na kuliinua wale waokota mapanki pale mwaloni?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
ha ha ha, ujue hiki kiwanja changu dili sana?
Kiko karibu na Genji(mmiliki wa vivuko)

ila jamani nimesoma kayumba itabidi mnielewe tu.

Wewe ni mmiliki pia wa vile vivuko?
 
Back
Top Bottom