Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna
si mngewafunga tu magoli mengi, mbona hata coast walipata kadi nyekundu yaaani kutoa draw jana basi mnaona ni makosa ya marefa. he he watani naona mlitegemea kila timu mtaifunga tano, sita.
Refa akipigwa ngumi TFF wanalalamika.
Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna
Ni kweli mkuu umenena vema Yanga wanatakiwa wawe makini na hujuma zote zinazotolewa na marefa. Kwa mfano jana yanga walihujumiwa na refa ambae aliwaacha costal union wacheze rafu za makusudi na hivyo kuharibu ladha ya mchezo
hivi matokeo yalikuwaje mbona mnalialia kama watoto wa kike, eti yanga haina mpinzani..
Huyo mwamuzi wa jana anatakiwa apate dawa aliyopta Nkongo ili aijue kazi yake
Tulishajua mapema "mkifungwa lawama haziishi"Kufuatia kuanza michezo michafu ya waamuzi dhidi ya yanga, naonya viongozi na wachezaji wa yanga wawe makini sana na fitna za ndani na nje ya uwanja tumeshuhudi jana mchezo kati ya coast na yanga,. Maamuzi mabovu yaliyokua ya kuikomoa yanga kama vile rafu za kina boban,banda na nyoso pamoja na penat hiyo ni makusudi ya refa kufanya hivo,. Ko onyo viongozi yanga jiandaeni kwa mapambano ya fitna
Achana nao vilaza hao! yenyewe yalijua yanacheza na vibonde kumbe ni tofautisi mngewafunga tu magoli mengi, mbona hata coast walipata kadi nyekundu yaaani kutoa draw jana basi mnaona ni makosa ya marefa. he he watani naona mlitegemea kila timu mtaifunga tano, sita.
Mkuuu upo kumbe hivi ulipotelega wapi ?? Kitambo sana
Tulishajua mapema "mkifungwa lawama haziishi"