Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,130
ENZI ZA MZANAKI
1.enzi za analog wazazi walikuwa wasemaji wa mwisho kuhusu nani uoe ama nani akuoe.
-walichunguza tabia wao
-walipendekeza mke wa kuoa
-dini ilizingatiwa,kama unataka kubadili dini uolewe ama uoe mpaka wakubali
-demu hakuwa na uhuru wa kuchagua wakati mwingine.
ENZI ZA MKWELE
Digital
2.wazazi si wasemaji wa mwisho kuhusu nani uoe ama nani akuoe
-tunakutana na kupendana wenyewe
-tabia tunachunguzana sisi
-taarifa tunapeleka kwa wazazi wetu sisi na hata demu ana uhuru huo
-tukikubaliana kubadilisha dini ama dhehebu ni sisi na hakuna wa kutuingilia
ONYO KWA WAZAZI
kabla niane kuuliza hivi leo nyinyi wazazi mkiambiwa mchaguliwe wa kuwapenda mtakubali?
JUENI KUWA NAFASI YA MZAZI NI KUTOA USHAURI TU na unaweza kukubaliwa ama kukataliwa na ukikataliwa muache mtoto wako si nae kakua ajichagulie wa kumpenda.ENZI ZA MZANAKI ZISHAPITA SASA NI ENZI ZA MKWELE.
mnasababisha watoto wanakunywa sumu,wana pata stress,na wakifaniwa mnaficha nyuso zenu kwa aibu,na kama mambo yakienda mrama si wao walitaka