ONYO kwa wanaonunua simu humu

#Nipedili wadau Nina shida na screen ya Samsung A 5( 2017) Kama una Samsung iliyo aribika tafadhalinl kuja tufanye Bussines. Au Kama unamjua mtu mwenye aina hiyo ya simu na screen ni nzima please ni connect naye
 
Tecno spark 2 GB 16 sh 160k imenyooka haina kipengele ipo mwenge-dar njoo ujionee 00672904720
 
Today at 9:39 PM
#13,963
Habarini wakuu

Nahitaji Apple Watch series ya 3 au ya 4 used
Kama unayo njoo PM na bei&picha
Asanteni
 
i phone 7 plus

Gb128

Price 550,000/=

Location dodoma Area c

Fingerprint

Charger

Earphones


Exchange allowed na hela
 
Kuna matapeli maarufu kwenye mtandao wa Instagram, hii account yenye jina la zanzibar_electronics_og ni matapeli ambao ukiangalia utadhani ni wafanyabiashara wakubwa kulingana na followers, lakini hawa ni matapeli ambao hawana duka physically na wala hawana bidhaa yoyote, wanawaibia watu kwa kuwaahidi wafanye malipo na kisha watawatumia bidhaa zao, wamekua wanabadilibadili jina la kampuni, walijifanya wapo Darajani, Zanzibar ila kesi zilivokuwa nyingi sasa wamebadili wanadai duka lao lipo Chakechake Pemba, angalizo hakuna duka la electronics hapo kwenye sehemu. Tafadhali tusaidiane kuwaokoa ndugu zetu wasitapeliwe zaidi. Sambaza kwa wengine wengi. Ahsanteni sana.
 
Ushanyooshwa nini kiongozi.
 
Na pia wana account nyengine instagram zanzibar_general_suplier_2021 ndio walewale.
 
N

Ndugu upo.?
Heri ya mwaka mpya
Asante heri ya mwaka mpya nawe pia jirani..

Nilipotea kidogo lkn sasa nimerudi nipo.

Habar za siku
 

IPHONE XS MAX

256GB, BLACK

BATTERY 97%

CLEAN AS NEW

TSH 1,250,000/=
6 MONTHS WARRANTY

0714 981607

0758 294766

RELAX; FREE DELIVERY WITHIN DAR ES SALAAM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…