Onyo kwa wanaochukua wake za watu

Onyo kwa wanaochukua wake za watu

Hapa kuna jambo kubwa sana. Kuna hatari ya kutokea mambo ya Ufosaro hapa
 
mwanamke heshimu ndoa yako
hv umeolewa unatafta nini nje?
uliolewa kutoa gundu?
uliolewa uwakomeshe mtaa wa pili?
uliolewa kufurahisha wazazi au pesa za m/me?
mwanamke mzinzi ktk ndoa ni mpumbavu na taahira
na mwanaume nawe ulioa umri umeenda?
ulioa kupata mashine ya kufyatulia watoto?
ulioa ili upate receptionist?
mwanamme mzinzi fedhuli na taahira
 
As a woman, you cannot claim to be beautiful enough to have any man. Beauty goes beyond the skin, get your own man.
 
Oooof,mchana huu unanichekesha
AAh usitutishe banaa, mbona mabalaa yanawapata watu wengi tena ambao ni mabikra. Ndege zinaanguka, magari yanapata ajali, mafuriko yanatokea kila siku, matetemeko, vita, ebola na magonjwa mengine mengi.....kwahiyo ayo yote yanawapata wazinzi tu?? Halafu kila binadamu hapa duniani ni mfu mtarajiwa kwahiyo sio lazima awe mzinzi.
 
..eti Juzi KIBONDE alikuwa anaandaa tangazo la UTIII WA SHERIA...BAKI NJIA KUUUUUUuuuuuu
 
Hivi kunamtu alishawahi kuumba MTU wake maana ukisema mke wa MTU au Mme wa MTU sikweli wote niwamungu natunatakiwa tusaidiane
 
Kubadilisha mboga muhimu bhana:leo tembele.kesho kisamvu,keshokutwa nyama,mtondogoo................. hapo ndiyo afya inaimarika!

Mmmmh mkuu umeoa/kuolewa kweli ww....mana ulivyomjibu mleta 3d
 
mwanamke heshimu ndoa yako
hv umeolewa unatafta nini nje?
uliolewa kutoa gundu?
uliolewa uwakomeshe mtaa wa pili?
uliolewa kufurahisha wazazi au pesa za m/me?
mwanamke mzinzi ktk ndoa ni mpumbavu na taahira
na mwanaume nawe ulioa umri umeenda?
ulioa kupata mashine ya kufyatulia watoto?
ulioa ili upate receptionist?
mwanamme mzinzi fedhuli na taahira

hayo ni maneno tu hata kwenye khanga yapo... acha tuenjoy maisha, akishoboka mwenyewe usipomchapa atakuona hanisi
 
yawezekana mother niliyemkanyaga wa huyu aligundua maana kalalamika sana pole nilikuwa sijui
 
Back
Top Bottom