Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
- Thread starter
- #21
na kichen pat marufuku huwa wanaambiwa awe na mafika matatu akili kukichwa
nitayatengua hayo mawili
na kichen pat marufuku huwa wanaambiwa awe na mafika matatu akili kukichwa
Hii nayo ni post mkuu. jaribu hata kufungua post za watu na ujibu maswali japo kidogo kuliko kufungua post zisizo na msingi.
Huyu ndo alilalamika km posts zake zinafutwa. Posts zenyewe ndo hizi.
Hehehehehee
Si bora anamchongea nyumbani....
Kuliko wale wadada wa saluni wanaowaosha vichwa.....
Kumbe na nyie mna wivu eeeeh
nashukuru sana kwa ushauri wako mkuu,ila sina kumbukumbu nzuri kama niliku pm nikakwambia uje hapa.kama niliku pm basi nisamehe,nitakuwa nimejisahau
Ashaliwa mkeo....!!tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya
Ashaliwa mkeo....!!
R.I.P (in Advance) Mkata Kucha popote ulipo...
kumnyoa vinyweleo vya kwapani na katikati ya miguu hutaki unajifanya kuona kinyaa...wenzio ndo wanakutafuniaaaaaaaaaaaa mwanaume jitume
Uuuuuuh jamani jamani wewe kidume kwahiyo unamuogopa kumuonya Mkeo kwanza Hadi unakuja humu jamani.....
Cha mtu huliwa na mtu, chuma huliwa na kutu
tafadhali sana,kama
uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti
unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu
eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya
laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana
tutaonana wabaya
haya mpaka rangi kasikia na yule mkongo man wa salon je? yule mwalimu wa kwaya? na yule anaemletea vipodozi makufuli na jeck ofisini? mwendesha bodaboda manake nasikia anaacha gari car wash anapanda bodaboda kukwepa foleni, kwa mtindo huu utamaliza wengi.
Braza kaa mbali na kazi yangu,ohoo sii kaniita mwenyewe?
Iheshm kazi yangu tafadhali,
mbona ww dem wangu anaku massage daily pale berber shop.na huzungumzii kitu,wee wako anauma eeh?
Au nimwambie?mkeo
sorry just fun only