Kozo Okamoto
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 3,391
- 1,546
tafadhali sana,kama uko hapa au hauko hapa,kwangu maruufuku.kila baada ya siku tatu eti unakuja kuchonga waif kucha,nikitoka job nakukuta umebeba mguu wa waifu eti unamsafisha.tusije kuonana wabaya.nilijinyima sana kulipa mahari ya laki mbili na nusu so usijifanye mjanja hapa town.tafadhali sana tutaonana wabaya