Onyo: Darasa huru la ndoa kwa wanaume pekee...?!

Ph-25

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,159
Reaction score
540
Binafsi naamini ndoa imara hujengwa ktk misingi mikuu ifuatayo...

Upendo wa dhati toka kwa kila mmoja,akili na kushirikishana ktk mambo mbali mbali yanayo husu ndoa yenu,chaguo sahihi la mwenza wako wa kuishi nae,na uvumilivu ulio pitiliza toka kwa kila mmoja wenu...

Ndoa nitaasisi ngumu sana hapa dunia...kuna watu wamefanikiwa sana hapa dunia,ki mali,maisha,siasa na wame fail kutu kinachoitwa ndoa.. Mf. Mandela..

Ili ndoa imara husimamishwa tangu ktk hatua za awali za mapenzi..

Mapenzi sio Shape,sura,wala pesa...

Kuna
Wanaume mpaka leo hii tuna tumia vigezo vya hapo juu kutafuta mwanamke wa maisha yake... Wapo wanawake wana Shape
nzuri sana lakini
wana akili ndogo kama
diclopa...,

ukimuweka ndani
huyu ni hasara! Kuna
Wanawake hawana
Shape lakini kichwani
wako very smart na wana
all qualities za kuwa mke
na mama bora...

Sasa
wewe komaa kutafuta
mikusanyiko ya nyama za
nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha
nyumba.... Nyumba
haiendeshwi kwa Shape
ya Kalio... inaendesh wa
kwa akili na upendo.... Kaa ukijua mama
ndio kiongozi wa
Familia, inapaswa awe na
akili na awe msaada
kwako kama mume ili
mfanikiwe.... Taifa imara
hujengwa na Familia
imara na bora....Uchaguzi
ni wako,na
ukumbuke,Kalio huwa na
tabia ya kuyumbayumba
ukitembea.... na hivyo
ndivyo hata Familia yako
itakavyo yumbayumba
kila siku kwa sababu
itakuwa inaendeshwa
kwa kalio na sio akili..!!!

Jipange mwanaume sikuzaja unatakiwa uimudu ndoa yako..

ONYO: Usije ukaoa mwanamke kwa kigezo cha uzuri wake pekee... Utajuta kuoa.
 
Hongereni wanawake mlio na kalio kama za wahindi{Bapa}mana mkitembea izo kalio zenu haziyumbi kwaiyo na ndoa zenu hazitayumba pia
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wanawake wazuri wasiolewe au umelenga nini wenye shape nzuri nyuma waachwe bila kuolewa? Naona umewaza karibu sana jipange tena.
 
mkuu ktk watu wanaokurupukia mada pasi na kusoma kwa makini basi wewe ni raisi wao...kilicho maanishwa hapo ni kwamba,usije ukaoa kwa kigezo cha uzuri pekeyake utakuja kujuta...mi naisi wewe ni mvulana sio mwanaume ndo mana unakurupuka dogo.
 
Hongereni wanawake mlio na kalio kama za wahindi{Bapa}mana mkitembea izo kalio zenu haziyumbi kwaiyo na ndoa zenu hazitayumba pia

huo nimoja ya mfano tuu,mada haijajengwa kwenye msingi uo,fikiria kwa makini wacha kukurupuka mkuu.
 
Kula tano mleta uzi".Nakumbuka cku moja tcha alikuwa anamwaga mbungi clas khs choice criteria za mke,akasema anashangaa sn vjana 2meweka mbele zaidi mwonekano wa nje(na inye likiwemo!) ktk kuchagua mwenza,akaendelea..,kwamba mkishaingia kwenye ndoa t.a.k.o linakosa mashiko kabisa na watakaoliona lina value ni wengine na c wewe mume!
 
Mwanaume yakupasa kutambua sio kila mwanamke,anasifa ya kua mke bora...wengne wapo ilmradi kutimiza agano la mungu, na kilauingiapo majaribuni ktk uhusiano inabid unyanyuke,jifute vumbi chapa lapa,coz sio kila uhusiano wa mapenzi utakuletea mke bora na ndoa imara,relations nyingne zipo kwaajiri ya kukupa mitihani ili uwe imara ktk ndoa imara.
 
Kula tano mleta uzi".Nakumbuka cku moja tcha alikuwa anamwaga mbungi clas khs choice criteria za mke,akasema anashangaa sn vjana 2meweka mbele zaidi mwonekano wa nje(na inye likiwemo!) ktk kuchagua mwenza,akaendelea..,kwamba mkishaingia kwenye ndoa t.a.k.o linakosa mashiko kabisa na watakaoliona lina value ni wengine na c wewe mume!

asante mkuu kwakunielewa mana kuna vijana humu ndani wao ni kukurupuka tu... Sijui nakunywa kwanza viroba alafu ndo wanakuja humu ndani.?
 
Ndoa inakuwa IMARA pale kila mmoja (mke na mume) atakapoamua kuyaishi mapungufu ya mwenzake.

Kila mmoja amekulia kwao, kwa maadili yake hivyo si rahisi kumbadili mara moja

Unapooa unapaswa kujitambua kuwa umeoa. Lazima mfumo wa maisha ubadilike...

Siku za mwanzo ndani ya ndoa unapaswa kuzitumia vilivyo kujenga misingi yako. Samaki mkunje angali mbichi.

Usiruhusu ndugu zako wawe wasemaji wa Familia yako. Usiwe mwepesi wa kuamini kile unachoambiwa. Jifunze kutumia AKILI zako zaidi.

Usiwaeleze watu matatizo yenu. Hakuna familia nzuri, kila familia ina mapungufu yake. Jaribu kuyatatua jadri ya uwezo wako.

Muheshimu mkeo. Mjali mkeo. Muombe msamaha pale unapomkosea.
 
asante kwa nasaha nzuri sana Mzee
 
Last edited by a moderator:
Binafsi naamini ndoa imara hujengwa ktk misingi mikuu ifuatayo...

Upendo wa dhati toka kwa kila mmoja,akili na kushirikishana ktk mambo mbali mbali yanayo husu ndoa yenu,chaguo sahihi la mwenza wako wa kuishi nae,na uvumilivu ulio pitiliza toka kwa kila mmoja wenu...

Ndoa nitaasisi ngumu sana hapa dunia...kuna watu wamefanikiwa sana hapa dunia,ki mali,maisha,siasa na wame fail kutu kinachoitwa ndoa.. Mf. Mandela..

Ili ndoa imara husimamishwa tangu ktk hatua za awali za mapenzi..

Mapenzi sio Shape,sura,wala pesa...

Kuna
Wanaume mpaka leo hii tuna tumia vigezo vya hapo juu kutafuta mwanamke wa maisha yake... Wapo wanawake wana Shape
nzuri sana lakini
wana akili ndogo kama
diclopa...,

ukimuweka ndani
huyu ni hasara! Kuna
Wanawake hawana
Shape lakini kichwani
wako very smart na wana
all qualities za kuwa mke
na mama bora...

Sasa
wewe komaa kutafuta
mikusanyiko ya nyama za
nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha
nyumba.... Nyumba
haiendeshwi kwa Shape
ya Kalio... inaendesh wa
kwa akili na upendo.... Kaa ukijua mama
ndio kiongozi wa
Familia, inapaswa awe na
akili na awe msaada
kwako kama mume ili
mfanikiwe.... Taifa imara
hujengwa na Familia
imara na bora....Uchaguzi
ni wako,na
ukumbuke,Kalio huwa na
tabia ya kuyumbayumba
ukitembea.... na hivyo
ndivyo hata Familia yako
itakavyo yumbayumba
kila siku kwa sababu
itakuwa inaendeshwa
kwa kalio na sio akili..!!!

Jipange mwanaume sikuzaja unatakiwa uimudu ndoa yako..

ONYO: Usije ukaoa mwanamke kwa kigezo cha uzuri wake pekee... Utajuta kuoa.

nimecheka sana,ila ujumbe nimeupata as mume wa siku zijazo
 
Ndoa inakuwa IMARA pale kila mmoja (mke na mume) atakapoamua kuyaishi mapungufu ya mwenzake.

Kila mmoja amekulia kwao, kwa maadili yake hivyo si rahisi kumbadili mara moja

Unapooa unapaswa kujitambua kuwa umeoa. Lazima mfumo wa maisha ubadilike...

Siku za mwanzo ndani ya ndoa unapaswa kuzitumia vilivyo kujenga misingi yako. Samaki mkunje angali mbichi.

Usiruhusu ndugu zako wawe wasemaji wa Familia yako. Usiwe mwepesi wa kuamini kile unachoambiwa. Jifunze kutumia AKILI zako zaidi.

Usiwaeleze watu matatizo yenu. Hakuna familia nzuri, kila familia ina mapungufu yake. Jaribu kuyatatua jadri ya uwezo wako.

Muheshimu mkeo. Mjali mkeo. Muombe msamaha pale unapomkosea.

@Mzee thanx much,naamin ntakua muadilifu sana kwa my wife wangu
 
jamani msitunyanyapae uwezekano upo;wa kuoa mke umpendae na bado akawa na vigezo vyote;upendavyo kwani tabia haina dawa;wala sura;au umbo.maombi mbele
 
Kwa hiyo unataka kutuambia kuwa wanawake wazuri wasiolewe au umelenga nini wenye shape nzuri nyuma waachwe bila kuolewa? Naona umewaza karibu sana jipange tena.

amelenga usioe kwa kigezo cha uzuri sawa.
 
Back
Top Bottom