Onyo: Darasa huru la ndoa kwa wanaume pekee...?!

Onyo: Darasa huru la ndoa kwa wanaume pekee...?!

hii ni complex issue, ngoja nitaridi kuidigonise imenichanganya..
 
Binafsi naamini ndoa imara hujengwa ktk misingi mikuu ifuatayo...

Upendo wa dhati toka kwa kila mmoja,akili na kushirikishana ktk mambo mbali mbali yanayo husu ndoa yenu,chaguo sahihi la mwenza wako wa kuishi nae,na uvumilivu ulio pitiliza toka kwa kila mmoja wenu...

Ndoa nitaasisi ngumu sana hapa dunia...kuna watu wamefanikiwa sana hapa dunia,ki mali,maisha,siasa na wame fail kutu kinachoitwa ndoa.. Mf. Mandela..

Ili ndoa imara husimamishwa tangu ktk hatua za awali za mapenzi..

Mapenzi sio Shape,sura,wala pesa...

Kuna
Wanaume mpaka leo hii tuna tumia vigezo vya hapo juu kutafuta mwanamke wa maisha yake... Wapo wanawake wana Shape
nzuri sana lakini
wana akili ndogo kama
diclopa...,

ukimuweka ndani
huyu ni hasara! Kuna
Wanawake hawana
Shape lakini kichwani
wako very smart na wana
all qualities za kuwa mke
na mama bora...

Sasa
wewe komaa kutafuta
mikusanyiko ya nyama za
nyuma ukidhani hizo
nyama ndo zitaendesha
nyumba.... Nyumba
haiendeshwi kwa Shape
ya Kalio... inaendesh wa
kwa akili na upendo.... Kaa ukijua mama
ndio kiongozi wa
Familia, inapaswa awe na
akili na awe msaada
kwako kama mume ili
mfanikiwe.... Taifa imara
hujengwa na Familia
imara na bora....Uchaguzi
ni wako,na
ukumbuke,Kalio huwa na
tabia ya kuyumbayumba
ukitembea.... na hivyo
ndivyo hata Familia yako
itakavyo yumbayumba
kila siku kwa sababu
itakuwa inaendeshwa
kwa kalio na sio akili..!!!

Jipange mwanaume sikuzaja unatakiwa uimudu ndoa yako..

ONYO: Usije ukaoa mwanamke kwa kigezo cha uzuri wake pekee... Utajuta kuoa.

Mkuu salute kwako.
 
jamani msitunyanyapae uwezekano upo;wa kuoa mke umpendae na bado akawa na vigezo vyote;upendavyo kwani tabia haina dawa;wala sura;au umbo.maombi mbele

sasa kama tabia haina dawa yanini nijitwike zigo la shida.?

Kilamwanaume anataka mke bora kama utaki kuji behave vizuri watakunyanya paa tu wala usijali.
 
Back
Top Bottom