ONYO: CLOUDS FM Hacha uchonganishi kwenye siasa

ONYO: CLOUDS FM Hacha uchonganishi kwenye siasa

Hii radio ukiipendelea sana kuisikiliza, lazima uwe mbea, shoga, au msagaji!.. Haina maadili..huwezi isikiliza ukiwa na watoto wako wadogo..
 
Clouds fm ni redio ya watu, in fact hakuna redio inayoifikia hii redio kw matangazo yenye ubora na vipindi vinavyopendwa na watanzania wengi.

Hapo kwenye bold huenda usiwe sahihi sana. Radio Free Africa ni ten times ya Clouds, in terms of coverage and programming. Clouds wameanza kurusha matangazo mikoani last 3 years, otherwise ilikuwa haifahamiki mikoani.
 
Hii radio ukiipendelea sana kuisikiliza, lazima uwe mbea, shoga, au msagaji!.. Haina maadili..huwezi isikiliza ukiwa na watoto wako wadogo..
...Hi si hoja yenye mshiko kila jambo ni kulitaka tu au kulikataa. Hata humo kwenye simu yako unayotumia kuandika haya maono yako yako zaidi ya hayo unayo yasema kwenye clouds mbona unayo ungenunua kitochi basi.hata humu jf yamo hayo mambo ukiyataka mbona umo na una coment?
 
Nshauri Lema asiende, wala asiliongelee hili jambo popote, litakwisha, kuna watu wako nyuma ya hizi issue, sio titizo hapa, ila kuna watru wanalikuza saaana
 
Back
Top Bottom