Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 17,057
- 18,406
Mkuu mnataka taxi wafe njaa?Hiyo sheria ipo ila kiafya wadau hii kitu ni mbaya sana,hebu imagine katika hao abiria kama ana mba kwenye nywele au usoni,au kama ana Chawa kichwani au ugonjwa wowote wa kuambukiza,ni hatari sana.Na kwa sie tunaofuga nywele ndefu ni usumbufu sana,ukipanda bodaboda tatu ujue kabisa nywele zako zitakuwa timtim,hali kadhalika wanawake ambao hawasuki ukiweka style yako lazima ivurugike.