Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,876 Reaction score 29,057 Sep 5, 2022 #41 nguvu said: Nimeamini wenye akili huko ni wawili tu Click to expand... Huko kwenu hakuna kabisa mwenye akili hata mwenye afadhali tu hakuna
nguvu said: Nimeamini wenye akili huko ni wawili tu Click to expand... Huko kwenu hakuna kabisa mwenye akili hata mwenye afadhali tu hakuna
Mayu JF-Expert Member Joined May 11, 2010 Posts 8,649 Reaction score 14,319 Sep 5, 2022 #42 Dirisha limefungwa tayari atakwenda wapi?
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 21,420 Reaction score 42,137 Sep 5, 2022 #43 Dingi asepe tu kwani hata yeye alivyopata namba kuna mtu alisugua bench. Naona hela ya tozo inamtoa udenda
Dingi asepe tu kwani hata yeye alivyopata namba kuna mtu alisugua bench. Naona hela ya tozo inamtoa udenda
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,006 Reaction score 110,608 Sep 5, 2022 #44 papason said: Aondoke kwenda wapi na hali madirisha na milango yoote ya usajili wameisha fungwa?? alikuwa wapi hapo kabla Click to expand... Hivi bongo hakuna dirisha la usajili wa free agents? Maana kama akivunja mkataba, atakuwa free agent
papason said: Aondoke kwenda wapi na hali madirisha na milango yoote ya usajili wameisha fungwa?? alikuwa wapi hapo kabla Click to expand... Hivi bongo hakuna dirisha la usajili wa free agents? Maana kama akivunja mkataba, atakuwa free agent
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,006 Reaction score 110,608 Sep 5, 2022 #45 papason said: Aondoke kwenda wapi na hali madirisha na milango yoote ya usajili wameisha fungwa?? alikuwa wapi hapo kabla Click to expand... Hivi bongo hakuna dirisha la usajili wa free agents? Maana kama akivunja mkataba, atakuwa free agent
papason said: Aondoke kwenda wapi na hali madirisha na milango yoote ya usajili wameisha fungwa?? alikuwa wapi hapo kabla Click to expand... Hivi bongo hakuna dirisha la usajili wa free agents? Maana kama akivunja mkataba, atakuwa free agent
Lupweko JF-Expert Member Joined Mar 26, 2009 Posts 25,143 Reaction score 27,279 Sep 5, 2022 #46 Its Pancho said: Hilo liko wazi beki kama onyango sio wa kukaa benchi kabisa mpaka kufikia kuomba kuvunja mkataba Click to expand... Lakini waliocheza mechi mbili hadi sasa hawajaruhusu goli hata moja NBC PL. Inabidi kuwaheshimu pia
Its Pancho said: Hilo liko wazi beki kama onyango sio wa kukaa benchi kabisa mpaka kufikia kuomba kuvunja mkataba Click to expand... Lakini waliocheza mechi mbili hadi sasa hawajaruhusu goli hata moja NBC PL. Inabidi kuwaheshimu pia
shahid365 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2018 Posts 522 Reaction score 421 Sep 5, 2022 #47 Prince Kunta said: Makolo mlipeni Onyango pesa zake aondoke akatafute furaha kwingine Click to expand... wewe nyumbu anaevunja mkataba ndie anaelipwa [emoji205][emoji205][emoji205]
Prince Kunta said: Makolo mlipeni Onyango pesa zake aondoke akatafute furaha kwingine Click to expand... wewe nyumbu anaevunja mkataba ndie anaelipwa [emoji205][emoji205][emoji205]
Mbulu JF-Expert Member Joined Apr 15, 2015 Posts 5,619 Reaction score 5,520 Sep 5, 2022 #48 Manyonyo fc mwacheni aende
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,876 Reaction score 29,057 Sep 5, 2022 #49 shahid365 said: wewe nyumbu anaevunja mkataba ndie anaelipwa [emoji205][emoji205][emoji205] Click to expand... Wewe kweli ni shahidi wa mambumbumbu na makolo waliopo uko kwenye timu yenu Onyango anadai makubaliano yaliyo ndani ya mkataba kama pesa n.k havijatimizwa
shahid365 said: wewe nyumbu anaevunja mkataba ndie anaelipwa [emoji205][emoji205][emoji205] Click to expand... Wewe kweli ni shahidi wa mambumbumbu na makolo waliopo uko kwenye timu yenu Onyango anadai makubaliano yaliyo ndani ya mkataba kama pesa n.k havijatimizwa
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 36,553 Reaction score 72,502 Sep 5, 2022 #50 Safi naona uzi umerekebishwa sasa umeandikwa kiushabiki wenye akili. JF imeondoa mpk comments zangu zenye neno ma****** aiseee safi sana.
Safi naona uzi umerekebishwa sasa umeandikwa kiushabiki wenye akili. JF imeondoa mpk comments zangu zenye neno ma****** aiseee safi sana.