Ontario ameshindwa Twitter, kuna wajanja wengi sana kule

Status
Not open for further replies.
Yaani mtu atapeli watu apate mamilioni umuite mjinga? Wajinga ni hao wanaotapeliwa
Yeye ni mjinga sababu na yeye lazima apigwe tu. Mtu mwenye akili hali mali za dhulma sababu anajua zitamgharimu.

Kwahiyo yeye ni mjinga na anao wadhulumu wote Wajinga.

Hakuna tapeli mwenye mwisho mzuri hata siku moja. Ili uamini kama yeye ni mjinga, ona sasa anavyofanya kazi mara mbili na kuaibika.

Bila shaka tumeelewana.
 
Forex is real, not a scam, not a con business and ONTARIO is not a swindler.
BUT, Forex trading is not easy, not a shortcut way of making money as promised by many.
huenda forex chini ya ontario kuna watu wazito sana wapo nyuma yake,maana kwa nnavyojua jinsi watu walivyokuwa wakilia saaa hizi angekywa ashadakwa zamani na kutokea yale ya mr kuku
 
Ni lini matokeo ya chuo yakawa siri? Hata wewe mtu akijua jina lako na umesoma wapi dakika sifuri anaweka matokeo yako hadharani. Kufaulu darasani haijawahi kuwa kigezo cha kupata maendeleo.
Jamaa ana akili..kama kweli anawatapeli watu hadi sasa hivi basi ni genius wa ukweli kwenye sekta hiyo.
Na bado watu watatapeliwa siku zote
Kutapeli watu sio Kwamba wewe una akili hapana ni Suala la kuwa umewapata wajingaaa wa huo utapeli unaofanyaa...!! Ila kwa sasa wajinga wamepungua ni kama Ule utapeli wa Qnet na Global siku hizi humpati mtu.
 
Kuwapata wajinga means umewazidi akili
 
Kwa lugha nyingine ni hivyo. Una bet dollars/Pounds/Yen au Euro zipande au zishuke thamani ili upate faida.

Sent from my POT-LX1 using JamiiForums mobile app
Duuh mbona hatari unajuaje kuwa zinapanda na kushuka wanatumia viashiria vipi kujua dollars zitapanda?​
Kwahiyo hii elimu ya kupanda na kushuka Ontario ndiyo anayotoa?​
 
Duuh mbona hatari unajuaje kuwa zinapanda na kushuka wanatumia viashiria vipi kujua dollars zitapanda?​
Kwahiyo hii elimu ya kupanda na kushuka Ontario ndiyo anayotoa?​
Kuna sababu/matukio mbalimbali zinazofanya fedha kupanda au kushuka. Mfano uchaguzi,ugaidi, kampuni kubwa kufilisika, magonjwa ya mlipuko na matukio mengine makubwa na madogo ya aina hiyo.
 
Hii nguvu mnayoweka kwenye Forex ukiiweka kwenye freelancing unapiga hatua kubwa sana.

Huu utajiri wa kulazimishana kama wa Qnet utawamaliza wengi.

Hao wanaojifanya ni magwiji wa forex nia yao ni kuuza courses, signals na kuhost training.

Ukiwa na darasa la watu 100 tu kwa training ya Tsh 40,000 kwa kichwa una Tsh 4M ndani ya saa moja au mawili wakati pato la jumla la mfanyakazi wa serikali kwa mwaka halizidi Tsh 6M.
Pesa ya bure kabisa!

Huyo jamaa kama kweli ana nia ya dhati ya kuwasaidia vijana watoboe kama anavyojidai anawapenda ni kwanini hawafundishi kuchanganya chakula cha kuku.
Huyo ni mfanyakazi wa level ipi serikalini?
 
Ontario (Sir_Jeff) kule twitter amefeli sana, alianzisha shindano kwa account yake anayotumia ya Sir_Jeff then akampa zawadi mshindi... Ila ujinga ni kwamba account ya aliempa zawadi inasomeka Ontario Kwa tunaomjua kuwa Ontario ndio mwenyewe Sir_Jeff tumecheka sana Eti kaanzisha shindano kisha kajizawadia mwenyewe
 
Nilimuona smart sana ila kwa hili nimemdharau

Ameweza kuwaibia watu wazima na akili zao akashindwa kufikiri watu walio tweeter wapo Jf pia kwamba wataibaini hiyo ID?

Kweli ukishafika mwisho wa zama unatinyanga kizembe sana

Back
Top Bottom