Only my repost

Only my repost

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,341
jamaa mmoja muongo alikua kijiweni anawahadithia watu jinsi alivyokua akimkimbiza swala porini akaishia kwamba " nikamkamata nikamlaza chini" ghafla kabla hajaendelea simu yake ikaita akaenda pembeni kupokea, washikaji wakawa wanamsubiria kwa hamu ili arudi aendelee, alivyorudi akawauliza hivi niliishia wapi? wakamwambia " umemkamata ukamlaza chini" jamaa akasema enheee, basi nikaanza kumvua nguo taratiibu huku nikimkumbatia na kumla madenda, washkaji wakashtuka na kuguna mmmh!! aaaaah! si alikua swala? jamaa akshtuka akasema aaaahaaa, nimekumbuka nikaanza kumchinja! washkaji hoiiiiiiii:
 
Ukiwa muongo muongo angalau jitahidi kua na kumbukumbu. lol
 
Hii kuna mdau alishairusha humu. But thanks kwa kutuvunja mbavu once again.
 
...anaipiga sredi madenda kabla ya kuilaza chini siyo?? sijui kabonyeza nini na ikafunguka yenyewe bila kusoma title... lol
Hahahahahaaa labda alikuwa anafungua mazawadi huku ana click. teh alikuwa faster*
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
 
Khaaa ! Hii style ya copy & paste imezid ngoja niongee na mod tuanze kutoa adhabu.
soma kwanza title ya thread mkuu,mi nilileta humu,na nikarepost tena,tatizo liko wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom