Marudio ya topic zilizokupa raha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Marudio ya topic zilizokupa raha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by fundiaminy, Sep 17, 2011.

 1. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kuna baadhi ya topics hapa kwa jokes zimewahi kukupa raha.naonelea badala ya kuzi repost nianzishe hii thread ili kujikumbusha na kuwapongeza waliochangia.mimi binafsi huwa kila nikisoma hii topic hubaki kujichekea pekeangu.big up mkuu Excellent popote ulipo.

  Topic: Muongo akihadithia
  Excellent 17:19 24th May 2011
  jamaa mmoja muongo alikua
  kijiweni anawahadithia watu
  jinsi alivyokua akimkimbiza swala
  porini akaishia kwamba "
  nikamkamata nikamlaza chini"
  ghafla kabla hajaendelea simu
  yake ikaita akaenda pembeni
  kupokea, washikaji wakawa
  wanamsubiria kwa hamu ili
  arudi aendelee, alivyorudi
  akawauliza hivi niliishia wapi?
  wakamwambia " umemkamata
  ukamlaza chini" jamaa akasema
  enheee, basi nikaanza kumvua
  nguo taratiibu huku
  nikimkumbatia na kumla
  madenda, washkaji wakashtuka
  na kuguna mmmh!! aaaaah! si
  alikua swala? jamaa akshtuka
  akasema aaaahaaa,
  nimekumbuka nikaanza
  kumchinja! washkaji hoiiiiiiii:
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  hii nilicheka sana!! ni nani alitoa hii?
   
 3. fundiaminy

  fundiaminy JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 358
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Bushbaby hio ilitolewa na excellent.kwa kweli alikaa na kufikiria.
   
 4. M

  Mutukwao JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2011
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sikumbuki topic inasemaje ila nakumbuka haya maneno eating whn in month,dry dry thngs,sucking my tree,slaughting whle naked th few ido remember.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  mmhhh hii ilikuwa hapa kweli au lile jukwaa lingine...??
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  [h=2]Dogo Janja!!...[/h]
  A woman takes a lover home

  during the day while her husband is at work.

  Her 9-year old son comes home unexpectedly,

  sees them and hides in the bedroom closet to watch.

  The woman's husband also comes home.

  She puts her lover in the closet,

  not realizing that the little boy

  is in there already.

  The little boy says, "Dark in here."

  The man says, "Yes, it is."

  Boy: "I have a baseball."

  Man: "That's nice"

  Boy: "Want to buy it?"

  Man: "No, thanks."

  Boy: "My Dad's out side."

  Man: "OK, how much?"

  Boy: "$250"

  In the next few weeks,

  it happens again that

  the boy and the lover

  are in the closet together.

  Boy: "Dark in here."

  Man: "Yes, it is."

  Boy: "I have a baseball glove."

  The lover, remembering the last time,

  asks the boy, "How much?"

  Boy: "$750"

  Man: "Sold."

  A few days later, the Dad says to the boy,

  "Grab your glove,

  let's go outside and

  have a game of catch."

  The boy says,

  "I can't,

  I sold my baseball and my glove."

  The Dad asks,

  "How much did you sell them for?"

  Boy: "$1,000"

  The Dad says,

  "That's terrible to over charge your friends like that...

  that is way more than those two things cost.

  I'm taking you to church, to confession."

  They go to the church

  and the Dad makes the little boy

  sit in the confessional booth

  and closes the door.

  The boy says,

  "Dark in here."

  The priest says,

  "Don't start that shit again;

  you're in my closet now."​
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Top ten za majina, nilicheka sana.
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Hapa napo nilicheka mno.......
  br
  br
  Harry alipochoka kufanya
  kazi zake akazima taa,
  akambusu mkewe,
  akalala na usingizi mzito
  ukampitia. Mara
  akamwona mwanamme
  amesimama
  kitandani.
  "Toka hapa nani wewe
  unakuja kitandani
  kwangu?"
  "mimi ni mtakatifu Petro
  na hapa si kitandani
  kwako bali ni mbinguni"
  "Ina maana nimekufa?
  Mbona mimi bado kijana?
  Naomba unirudishe
  duniani."
  "Inawezekana, lakini
  siwezi kukurudisha kama
  mtu, labda nikurudishe
  kama
  mbwa au kuku"
  Harry akakumbuka mbwa
  anavyopata taabu ya
  kulinda, "Bora nirudi kama
  kuku"
  Mara akajikuta yuko
  kwenye banda, akiwa
  kuku jike na matakoni
  kunawaka
  moto. Akamwona jogoo
  pembeni, akamwambia
  shida yake.
  "Kaka ninasikia moto
  matakoni, inakuwaje?"
  "Kwani hujawahi kutaga
  weye?" Jogoo akamjibu
  kwa maringo.
  "Sijawahi"
  "Chuchumaa, kamua kwa
  nguvu yai litoke."
  Basi akakamua, yai la
  kwanza likatoka,
  akakamua tena yai la pili
  hilo!
  Akiwa anataka kukamua
  yai la tatu akasikia sauti
  ya mke wake.
  "Harry, pumbavu wewe,
  unakunya kitandani!"
   
 9. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  khaa.! Kumbe alikuwa padre na kale ndo kamchezo kake.!
   
 10. J

  Jamsuldash Member

  #10
  Sep 18, 2011
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 68
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Ile ya mlevi na rafiki mpya ambaye anarudi naye nyumbani kwake na kuanza kumuelekeza hii ni nyumba yangu na lile ni gari langu, wakaingia ndani wanalikuta njemba limelala na mke wa mlevi bila wasiwasi mlevi akaendelea kuelekeza kile ni kitanda changu, yule ni mke wangu na yule aliyelala naye ni MIMI. . .
   
 11. Mr. Mwalu

  Mr. Mwalu JF-Expert Member

  #11
  Sep 18, 2011
  Joined: Feb 4, 2010
  Messages: 808
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 60
  ile ya bwana harusi mtarajiwa anayehifadhi condom kwenye gari
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,087
  Trophy Points: 280
  Wakuu thanks much kwa pongezi zenu.

  Kuna post niliipenda sana huwa nacheka sana ila sikumbuki jina la mwenye post sijui kama nitakosea kuelezea.Ilikuwa inasema...

  Chizi alikatiza mbugani akiwa uchi wanyama wakaanza kukimbia,swala akamwambia simba ''inakwaje mfalme wa pori na wewe unakimbia''simba akajibu ''we uliona wapi mnyama mwenye mkia mbele'''
   
 13. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,812
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  mi ilinichekesha sana (japokuwa siikumbuki vzr) .....jamaa waliokuwa wanfanyiwa interview na professor na wakagundua maswali
  wanayoulizwa ni yaleyale hivyo wakaambizana, issue ikawa kwa rafiki wawili mmoja bright na mwingine kilaza. here it is,

  PROF; When did tz got her independence
  CAND; it was supposed to be in 1960 but it was postponed until 1961
  PROF; Who participated in the process
  CAND; Many participated but nyerere and karume finalised it
  PROF; Do you believe that in MARS there are living things
  CAND; some people say yes some say no, but scientist are still investigating.
  then akaingia candidate kilaza, bahati mbaya prof akabadilisha maswali, ikawa hivi,
  PROF; When were you born?
  CAND; It was supposed to be in 1960 but it was postponed until 1961
  PROF; What? Who is your father by the way?
  CAND; so many participated but nyerere and karume finalised it,
  PROF; What? are you crazy?
  CAND; Some say yes, some say no but scientists are still investigating
   
 14. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,721
  Likes Received: 433
  Trophy Points: 180
  Mi nilifurahia sana post ya enzi ulipokuwa boarding. Ilinikumbusha mbali sana na vtuko vya sconga
   
 15. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  yh, made my day man!! nice one!!!
   
Loading...