driller
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 1,116
- 240
jamaa mmoja alikua muongo(sound).. Siku moja akawa anawapigia masela wenzake story za jinsi alivyokua muwindaji wa swala.. Sasa story ikaenda mpaka wakafika sehemu jamaa amemlaza swala chini anataka kumchinja..... (msimuliaji akaitwa kdogo kwao)..alivyorudi akawauliza washkaji.. Ivi tumeishia wapi..!!? Jamaa wakamwambia tumeishia pale umemlaza chini... jamaa akasema .."enheeee... Basi nikamvua nguo halafu nikaanza kumnyonya mtoto akaanza kulegea.. Ndio na mimi nikamaliza kabisa pale.. Demu alikua mkali kinyama...!! machizi wakawa hoi kwa kucheka...