In-short wewe ulikua LEGEND😂😂Mimi sikuwa na maajabu yoyote ,sikuwa handsome, darasani sikuwa vizuri kivile ,sijatoka kwenye familia ya kishua kwa hiyo kwa kifupi nilikwepo tu ilimradi tu nipo skuli siku zinaenda
Nipo hapa kusoma chai za wakulungwa....
Kumbe Anna ndie aliekuharibu baada ya kukupa Utelezi kwa Mara ya kwanza...Ndio Umalaya ndipo ulipoanzia😂😂🙌🙌🙌Nilivuta bangi sana kuanzia darasa la sita pale Naura zen Popatlal sec school O level class of 1995 na A level class ya 1998.
Walinipenda as nilikua mpole sana, smart na sikua na makundi. Waliniita chocolate boy due to colour composition.... 1st girlfriend nikiwa form 5, Anna K(wherever yiu"re a. Missing you)
Hivi viumbe vya ajabu sana vinapenda hadi Ndevu?😂😂🙌🙌Walikua wananipendea ndevu.
Kwa jinsi nilivyokuwa nauogopa UKIMWI wa enzi zile mtu anakonda anabaki kichwa tu hata wangekuwa wanakuja darasani uchi wala. Uwepo wa UKIMWI toleo la zamani ulinisaidia sana kuwaona wasichana kama dada zangu wa tumbo moja licha ya vishawishi vya hapa na pale lakini nilistahimili hadi nilipookolewa na Yesu ambapo aliniongezea sababu zaidi za kuikimbia zinaa.Wakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima!
Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu.
Nikawaza sana nikacheka nikaone niulize na wadau humu,nyie watoto mlikua munawavutia na kipi?
Au Tabia ya kuhonga Mmeanza kitambo?
Si mnasemaga humu ni kwa magriti thinka?. Sasa magriti thinka walikuwa wanakuwa wamwisho darasani?Jf ina ufala mwingi kinoma, yaan kiila mmoja alikua HB na anaongoza darasa daadek wahuni mnatuchosha na hizi kahawa zenu maana hizi sio chai tena ni Cupchino
Sasa kwa kimo kile we muitaliano na basketball wapi na wapi ila goli la jana Yuropa umeuaa,lile goli la wiki aisee.Sema hapo kwenye ubasketballer, ningesoma shule moja na ww, basi ningekula hilo tunda kizembe sana
Mkuu Insigne au Insignio ni system of power or authoritySasa kwa kimo kile we muitaliano na basketball wapi na wapi ila goli la jana Yuropa umeuaa,lile goli la wiki aisee.
OK asante kwa kuniongezea maarifa uliliona goli lake la jana?Mkuu Insigne au Insignio ni system of power or authority
Sema Namkubali sana huyo mwamba hasa aina ya magoli ambayo huwa anafunga
Acha watufilimbe maana tumeyataka wenyewe ama namna ganiSi mnasemaga humu ni kwa magriti thinka?. Sasa magriti thinka walikuwa wanakuwa wamwisho darasani?
😁😁KwendraaaaaaSipo kokote mpaka waalimu walikuwa hawanijui.
Wanashangaa kwenye mitihani huyu aliyepata 100 ni nani?