Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Before Anna nilishanunua sana utelezi siku za disco sio CLUB ... Ijumaa niliku nazoa bushstreker mkonge hotel, jummosi MERIDIAN au fourways Jumapili splendid
Utelezi wa kununua bhna nao kero tu sa Bao Moja 10000 kweli?🤔😂😂
 
Samahani nimesoma komenti zote naona neno "HB" limezagaa sana.
Lina maana gani msaada hapo
 
Mimi nilivyokuwa la sita kuna demu wa lasaba mkali shule nzima alikuwa mda wa saa nne lazima aniombe pesa za kununua bites nampa. Itakuwa pesa zangu
 
Jf noma, wote humu ni Ma T.O , handsome , basketballers,hamna hata mmoja aliyekua kichwa panzi kama siye. Heshima kwenu Basketballers wote maana nilikua nawazimikia sana. R.I.P Kobe Bryant.
Mimi simo kati hayo uliyoyataja.

Kidogo tu nilikuwa kichwa moderate tena kwa kutumia nguvu za kukesha ambapo nilikuwa nabahatika kuwepo top 10 tu.

I wish ile top 10 ingekuwepo na huku kitaa, ingekuwa vyema sana.
 
Nilikuwa kichwa cha Hesabu na nilikula sana pic kali kuanzia olevel hadi chuo kikuu japo chuo kikuu hesabu zilikuwa semester ya kwanza tu na masomo mengine hata mimi nilikuwa wa kawaida sana. Ila kwenye maisha ya shule ukiwa na akili hasa kwenye masomo ya sura mbuzi basi utakula kila aina ya mizigo
 
Nilianza mapenzi nikiwa darasa la 6,

sikuwa na hela wala sura ya kuvutia,

nilipendwa tu na wasichana watatu (wawili mapacha) kwa sababu nilikuwa nafaulu masomo ya English na Maarifa ya Jamii.

For the first time naonja joto ya mwanamke ndio hapo, na umalaya ukaanza rasmi😅😅

mmoja kwao walikuwa na hela sana, mtoto wa kike kuja na elfu 2 ya kula shule ilikuwa kawaida.

Baadae naenda Advance shule ya wavulana tupu, nikawa naenda nje mida ya jioni kununua Ndizi kuna dada mmoja alitokea tu kunipenda.

anadai eti kapenda nilivyo mrefu😅😅😅

nilimkimbia huyo mwanamke aisee dah niliogopa maana kulikuwa na stori za kulishana madawa ya mapenzi mpk mtu unaacha shule, nikaona yatanikuta
 
Daaaa!! Sema Urefu kwenye Mapenzi nao Dili sana
 
Wakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima!

Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu.

Nikawaza sana nikacheka nikaone niulize na wadau humu,nyie watoto mlikua munawavutia na kipi?

Au Tabia ya kuhonga Mmeanza kitambo?
Mtoro charming
 
Back
Top Bottom