Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Jf noma, wote humu ni Ma T.O , handsome , basketballers,hamna hata mmoja aliyekua kichwa panzi kama siye😂😂. Heshima kwenu Basketballers wote maana nilikua nawazimikia sana. R.I.P Kobe Bryant.
Sa Kobe Brayant kaingiaje hapo?🤔🤔 huku umesema huko sikuli hao Basketballer ulikua unawazimikia si Umutaje tu huyo uliewahi kumtunuku Tunda aliekua anacheza Basket😂😂
 
Nilikuwa naupiga mwingi saana kwenye hisabati,uwanjani boli limelala, kisha enzi hizo masongi ya juma nature, tid... tupac(dear mama yoote, keap ya head up,hit em up,do for love zipo kwa mbali)
 
Mmmh! Watoto wabichi sio kama hatuwataki ila wana manjegeka mengi. Mara hataki hiki, mara anataka hiki coz wengine shida kwenye mapenzi hatupendi
Si wote bana kuna walio vizuri tu inamaana hujawahi kubahatisha hata 1? Au wote mnaleteana hayo majegeka?🤔
 
Ebana eeh umenikumbusha mbali ... Totozi zilikuwa zinanizimia kinoma maana kwanza nilikuwa smart sio kitoto halafu nilikuwa niko vizuri kuongea kimombo maana shule ya msingi nilisoma shule nzuri japo nilikuwa nanga ila nilipoenda secondary za kawaida na mimi nikaonekana the best hasa kweye kuongea kimombo na hata darasani nilikuwa naburuza sana nafasi za juu. Midahalo ya shule na debates nilikuwa naitwa hata kama naumwa.

Niliopofika kidato cha pili tu nikagombea kuwa HP nikapita kwa kishindo nikawakalisha form three mpaka form four. Nakumbuka miaka hiyo ndio simu zimeanza kuwa nyingi mimi nilikuwa na simu aina ya Nokia alinipaga kaka yangu nilivyoingia tu form two kwa ufaulu aloniahidi sasa pale shule ilikuwa mimi na second Master tu ndio tulikuwa na simu. Watoto wote full kunifata mpaka home wanaonba kubeep wapendwa wao

Headmaster nae mwanzoni kabisa hakuwa na simu alikuwa angongea kwangu pamoja na Maticha mademu wote aisee nilikwa maarufu, Nilikula mpaka walimu wangu wawili mmoja alikuwa mwalimu wa kujitolea na mwingine mwajiriwa kabisa nilkula sana mpaka wakajuana ikawa kesi mpaka kwa Head Master akajua. Uzuri headmaster alikuwa ananiamini na alikuwa rafiki yangu balaa akanambia tu kirafiki.

Mambo yalikuwa mengi mno by the way teacher mmoja mpaka leo ni pumziko langu nikiendaga home likizo anipa mbususu bila kinyongo japo now kazView attachment 1982169
alislihwa watoto wawili. Hongera kwako Madam B.
 
Madem walikua wananikubali sababu ya ucheshi mtu wa stori nyingi....ila domo zege alafu mbonge
 
Back
Top Bottom