Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

Mimi sikuwa na maajabu yoyote ,sikuwa handsome, darasani sikuwa vizuri kivile ,sijatoka kwenye familia ya kishua kwa hiyo kwa kifupi nilikwepo tu ilimradi tu nipo skuli siku zinaenda
 
Nilivuta bangi sana kuanzia darasa la sita pale Naura zen Popatlal sec school O level class of 1995 na A level class ya 1998.

Walinipenda as nilikua mpole sana, smart na sikua na makundi. Waliniita chocolate boy due to colour composition.... 1st girlfriend nikiwa form 5, Anna K(wherever yiu"re a. Missing you)
 
Nilivuta bangi sana kuanzia darasa la sita pale Naura zen Popatlal sec school O level class of 1995 na A level class ya 1998.

Walinipenda as nilikua mpole sana, smart na sikua na makundi. Waliniita chocolate boy due to colour composition.... 1st girlfriend nikiwa form 5, Anna K(wherever yiu"re a. Missing you)
Kumbe Anna ndie aliekuharibu baada ya kukupa Utelezi kwa Mara ya kwanza...Ndio Umalaya ndipo ulipoanzia😂😂🙌🙌🙌
 
Wakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima!

Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu.

Nikawaza sana nikacheka nikaone niulize na wadau humu,nyie watoto mlikua munawavutia na kipi?

Au Tabia ya kuhonga Mmeanza kitambo?
Kwa jinsi nilivyokuwa nauogopa UKIMWI wa enzi zile mtu anakonda anabaki kichwa tu hata wangekuwa wanakuja darasani uchi wala. Uwepo wa UKIMWI toleo la zamani ulinisaidia sana kuwaona wasichana kama dada zangu wa tumbo moja licha ya vishawishi vya hapa na pale lakini nilistahimili hadi nilipookolewa na Yesu ambapo aliniongezea sababu zaidi za kuikimbia zinaa.
 
Jf ina ufala mwingi kinoma, yaan kiila mmoja alikua HB na anaongoza darasa daadek wahuni mnatuchosha na hizi kahawa zenu maana hizi sio chai tena ni Cupchino
Si mnasemaga humu ni kwa magriti thinka?. Sasa magriti thinka walikuwa wanakuwa wamwisho darasani?
 
Mimi sikujua kama walinipenda au hawakunipenda so I didn't care coz since then hadi hapa nilipo I come to realize sina nyota na kupendwa na wanawake

MÊmENtO HoMO
 
Sasa kwa kimo kile we muitaliano na basketball wapi na wapi ila goli la jana Yuropa umeuaa,lile goli la wiki aisee.
Mkuu Insigne au Insignio ni system of power or authority

Sema Namkubali sana huyo mwamba hasa aina ya magoli ambayo huwa anafunga
 
Back
Top Bottom