Only Men: Ulivyokua school Watoto wakike walikua wanakupendea nini?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Wakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima!

Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then mtu flani mkimya Pisi ikija naila kiwepesi halafu sitangazi hata kwa wahuni wenzangu.

Nikawaza sana nikacheka nikaone niulize na wadau humu,nyie watoto mlikua munawavutia na kipi?

Au Tabia ya kuhonga Mmeanza kitambo?😂😂
 
O level Class nilikuwa nilikuwa sikosi top 3, shida sio muongeaji kihivo story chache tu
Ila background nilikuwa nafanya uovu hatari, "madisco,mademu plus nyeto" sikupita hata na demu mmja skuli

Saizi ukubwani kuna mademu watatu wa skuli waforce niwaoe wakiamin n mtulivu sana
 
Mm nilikuwa mpiga kelele maarufu darasani ...kwaiyo sikupendwa kabisa...darasa limekula adhabu za visiki na kufyatua tofali kwa kelele zangu ...madem walikuwa wakiniona wanatema mate chini maana wanajua huyu kuwa naye ni majanga🤣
 
Back
Top Bottom