Nyuma mlango ngazi si unaburuza?
Picha kama haina uhalisia vile
Duh!...
Noma sana
Nyuma mlango ngazi si unaburuza?
Picha kama haina uhalisia vile
Mabwaku.....
Kwani ile ya nanihii alipokwenda nyumbani kwenye ile nchi ya katavi ilikuaje mkuu si ilibidi isikumwe.au mmesahau?
Ikiwaka watadandia au watapunga mkono?