Only in Tanzana, kama huna pesa tupishe!

Nyama bei yake ni 6,000/= mpaka 8,000/= kwa 1 Kg, Wengi wanacheza hapo! Wewe uliuziwa Tsh ngapi?
Arusha leo asubuhi nimenunua kg 1 10,000 lakini mabucha mengine wanauza 9,000 nashangaa inakuwaje Arusha bei ya nyama ipo juu kuliko dar.
 
😂😂😂😂 maskini bhana kwani huoni majani yanayokufaa kula mpka ukakurupukie nyama wengine mmeumbwa kula harufu tu
 
Ni bora ungeendelea kuvumilia hao waliokujibu live

Hapa ulipoleta hiki kisa chako hapafai kabisa, utaparuliwa hadi uchanganyikiwe chief
Pole
Jf ya siku hizi imekuwa ya vijana wa hovyo, wenye kila neno kwao matusi na maneno ya kebehi.
 
Tafta hela mkuu..hiyo bei ya kawaida Sana Kama wallet inasoma vizuri ungekuwa na M...frani na upuuz then ac huko absa inasoma fresh Wala usingeonewa kabisa.
 
Kisa cha kwanza…

Nafika bucha na kuagiza kilo mbili za nyama kawaida. Kwa kuwa najua bei, natoa chenji kamili na kumkabidhi muuza bucha.

Anahesabu na kuniuliza mbona hela haitoshi? Napigwaa butwaa na kumuuliza kwani kulikoni? Ananijibu bei imepanda.

Naanza kulalama na ghafla nyuma yangu nasikia sauti, “Ee bwana kama huna hela tupishe, unatuchelewesha!

Sijakaa sawa sauti ya kike nayo ikadakia, “Wengine bwana, wapuuzi kweli kweli! Mtu huna hela kwani lazima ule nyama?

Taratibu nageuka na kukuta mstari nyuma yangu. Wote wamefura wakinitazama kama vile natoka sayari ya mbali.

Hakuna sura hata moja iliyoonekana kuniunga mkono au hata kushangaa kwa nini bei imepanda karibu mara mbili!
Inawezekana walikukadiria wewe ni wakula wale kuku zezeta😂
 
Mkuu bei inapanda na kushuka hujaona hiyo hali ukajiandaa kwayo.?
Kwa mfano sikukuu bei 9000 Hadi 10,000 kunakipindi hadi 11,000.

Zipo sehem 7000, 7500 na Kwa Sasa June 2023 nadhani IPO 8000 Kwa kilo Kwa location yangu. So ndg tunasoma mabei

NB.sangara kilo7000 Hadi 8000
Nunua samaki mkuu na mm nimehamia kwenye nyama nyeupe. Na napenda kuchukua kilo 5 walau hadi 6 Kwa wanaouza bei ya jumla.

Kwa mfano kilo Kumi kwa 7000 inakuwa 70,000 lkn tsh 35000 napata kilo5 42,000 kilo 6. Natulia.

Kwa kuwa unafuga na kuku unajipatia kuku mara moja Moja, kila mwez ukila kuku 3 sio mbaya
 
Mtoa mada inaonekana umekaa muda mrefu Sana bila kununua nyama ndo maana umestukia ongezeko la Bei.
 
Kisa cha kwanza…

Nafika bucha na kuagiza kilo mbili za nyama kawaida. Kwa kuwa najua bei, natoa chenji kamili na kumkabidhi muuza bucha.

Anahesabu na kuniuliza mbona hela haitoshi? Napigwaa butwaa na kumuuliza kwani kulikoni? Ananijibu bei imepanda.

Naanza kulalama na ghafla nyuma yangu nasikia sauti, “Ee bwana kama huna hela tupishe, unatuchelewesha!

Sijakaa sawa sauti ya kike nayo ikadakia, “Wengine bwana, wapuuzi kweli kweli! Mtu huna hela kwani lazima ule nyama?

Taratibu nageuka na kukuta mstari nyuma yangu. Wote wamefura wakinitazama kama vile natoka sayari ya mbali.

Hakuna sura hata moja iliyoonekana kuniunga mkono au hata kushangaa kwa nini bei imepanda karibu mara mbili!
😆

Tanzania kula nyama ni anasa ndio maana walikushangaa kufika hadi buchani bila kuwa na pesa ya ziada kufidia mabadiliko ya bei,, jinsi hiyo pia kama kufika baa na kuanza kuulizia ulizia bei za bia lazima wakuone huna pesa,, ingawa kupambania bei elekezi ni haki yako
 
Kisa cha kwanza…

Nafika bucha na kuagiza kilo mbili za nyama kawaida. Kwa kuwa najua bei, natoa chenji kamili na kumkabidhi muuza bucha.

Anahesabu na kuniuliza mbona hela haitoshi? Napigwaa butwaa na kumuuliza kwani kulikoni? Ananijibu bei imepanda.

Naanza kulalama na ghafla nyuma yangu nasikia sauti, “Ee bwana kama huna hela tupishe, unatuchelewesha!

Sijakaa sawa sauti ya kike nayo ikadakia, “Wengine bwana, wapuuzi kweli kweli! Mtu huna hela kwani lazima ule nyama?

Taratibu nageuka na kukuta mstari nyuma yangu. Wote wamefura wakinitazama kama vile natoka sayari ya mbali.

Hakuna sura hata moja iliyoonekana kuniunga mkono au hata kushangaa kwa nini bei imepanda karibu mara mbili!
Hakuna sura hata moja iliyoonekana kuniunga mkono au hata kushangaa kwa nini bei imepanda karibu mara mbili![emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa cha kwanza…

Nafika bucha na kuagiza kilo mbili za nyama kawaida. Kwa kuwa najua bei, natoa chenji kamili na kumkabidhi muuza bucha.

Anahesabu na kuniuliza mbona hela haitoshi? Napigwaa butwaa na kumuuliza kwani kulikoni? Ananijibu bei imepanda.

Naanza kulalama na ghafla nyuma yangu nasikia sauti, “Ee bwana kama huna hela tupishe, unatuchelewesha!

Sijakaa sawa sauti ya kike nayo ikadakia, “Wengine bwana, wapuuzi kweli kweli! Mtu huna hela kwani lazima ule nyama?

Taratibu nageuka na kukuta mstari nyuma yangu. Wote wamefura wakinitazama kama vile natoka sayari ya mbali.

Hakuna sura hata moja iliyoonekana kuniunga mkono au hata kushangaa kwa nini bei imepanda karibu mara mbili!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Thread haihusu nyama hii..
Subirini amalize
Nianze kwa kukiri ni kweli kisa hakihusu nyama; kwanza kabisa daktari wangu kanipa ushauri wa kutokula nyama na naheshimu ushauri wake.

Asante sana kwenu Watanzania mlioweza kung'amua hilo. Na kwa wale wengi mliomeza bila kutafuna kisa hiki cha pili kinawahusu sana tu.

Kisa cha pili...

Mwaka jana kijana wangu alinitumia simu ya mkono kutoka ng’ambo. Hiyo simu kwa makusudi kabisa ya kibiashara inaitwa simu janja (TZ!)

Baada ya kuipokea mara moja nikaanza utafiti wa kampuni gani ya simu itanifaa kwa matumizi yangu na kwa gharama nafuu zaidi.

Laiti ningejua kuwa ipo mamlaka inayohakikisha inaua ushindani katika biashara ya simu nchini ili wao wanufaike, wala nisingehangaika.

Nikapiga hodi kampuni moja ya simu inayosajili na kuunganisha simu. Huko nikakuta ziko bando za siku moja, za wiki na za mwezi!

Basi ngoja kizaa zaa kianze. Nikauliza vipi nikinunua bando ya wiki halafu nisiitumie au nikaitumia bila kuimaliza katika wiki hiyo?

Haraka haraka akanijibu mhudumu, “ndio imepotea hiyo na itabidi ununue nyingine.” Sikuamini masikio yangu nikabaki tu nimeduwaa!

Mwenzake mhudumu (wanakaa wawili wawili) akaingilia kati kunielewesha, “unaweza kununua ya siku moja kama matumizi yako ni kidogo.”

Kwa mshangao nikauliza je vipi kama nimetumia tu nusu, hiyo nusu nyingine mnaipeleka wapi. Ghafla sura zote mle ndani zikabadilika.

Bia kujali nikaongezea nikauliza tena kwa mshangao, kama hamrudishi hela hiyo bando yangu iliyosalia kwa nini isiwe carried forward?

Nyuma yangu sauti ikasikika, “Huyu mzee kachanganyikiwa nini! Hebu tupishe kama huna hela…wazee wengine bwana."

"Simu yenyewe labda katumiwa na kijana wake, huyo kijana wake atakuwa naye wa hovyo tu, hatumi hata hela ya kutosha ya bando!"

Taratibu nikajiondokea kuelekea kampuni nyingine iliyokuwa mtaa wa pili. Sijui huko mtaa wa pili nitakutana na nini...
 
Nyama 6,000/=!!!!! hiyo ni bei ya miaka kama mitatu hivi iliyopita. Nyama ni 8,000/= mpaka 10,000/=.

Mkuu Mimi nanunua Nyama 6,000/= kwa kilo ,Kuna maduka ya nyama mengi ,wengine wamebandika 6,500/= ,wengine 7,000/= ,wengine 7,500/= na wengine max 8,000/= ila mpaka wa kilo kwa elfu 6 amalize ndiyo wengine wanauza.
 
KIsa cha pili kinaendelea...

Nitaanza kwa kurudi nyuma kidogo, mwezi wa sita mwaka jana nilipopokea simu yangu janja kutoka ng'ambo.

Baada ya kukata kona mpaka mtaa wa pili nikakuta mambo ni yale yale hivyo nikawa sina tena namna .

Wakati huo bei ya bando za pure data kwa kampuni zote zinazotoa huduma za internet ilikuwa kama ifuatavyo;
  1. GB 10...Tsh. 10,000/= (sawa na shilingi 1,000 kwa kila GB moja)
  2. GB 19...Tsh. 20,000/= (sawa na shilingi 1,050 kwa kila GB moja)
Ghafla katikati ya mwezi wa mwezi wa nane Gb zangu zilipoisha na ikabidi nisasishe upya kupitia mtandaoni...

Nilikuta bando za pure data kwa kampuni zile zile zikitoa huduma zile zile bei zake zimekuwa kama ifuatavyo;
  1. Tsh. 10,000/= inanipa GB 4.5 tu! (sawa na shilingi 2,200 kwa kila GB moja)
  2. Tsh. 20,000/= inanipa GB 9.5 tu! (sawa na shilingi 2,105 kwa kila GB moja)
Ilikuwa kama vile nimepigwa radi...

Kesho yake asubuhi nikafunga safari hadi ofisini na kuwakuta wahudumu wamekaa wawili wawili kama ilivyo kawaida yao.

Nikaunga foleni ndogo nilioikuta nikisubiri zamu yangu ifike niulize tu katika miezi miwili kumetokea nini hadi bei iongezeke kihivyo.

Zamu yangu ikafika...ninachokumbuka kusikia ni zile sauti za kunitaka nifanye haraka, za kama pesa yangu haitoshi, za tupishe.

Kisa cha mwisho cha hitimisho kiko njiani.
 
Back
Top Bottom