ahaaa...yaani maana yake ni kuwa
kutokana na na uhaba wa mafuta , watu wanakuja
hadi na generator zake sheli au kituo cha mfuta kujazia
hapo hapo, yaani foleni moja magari, piki piki, jenereta, etc
Kuna crisis ya mafuta na huenda wakawa wanaogopa kuwauzia kwenye vidumu kwa kuogopa wanakwenda kuwarangua wengine hivyo kama ni gari uje nalo sehemu ya kununulia, pikipiki na generator hivyohivyo!