Only in Kenya this can happen, viwanja vya ndege vina mashimo.

joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,506
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,506 2,000
Wakati mkinya mmoja aliyetembelea Tanzania ameandika kwa undani jinsi alivyopendezwa na miundombinu ya Tanzania ikiwemo barabara, alifurahishwa sana kuona kwamba hakuna mashimo(potholes) katika barabara za Tanzania, ukilinganisha na barabara za Kenya zenye mashimo kama karai za kupikia vitumbua.

Kumbe hakujua kwamba, hata katika viwanja vya ndege vya Kenya pia kumejaa mashimo katika njia za kuruka na kutua ndege. Ndege ya Fly 540 almanustra kupata ajali katika kimoja wapo ya viwanja vya ndege huko Kenya, baada ya gurudumu lake moja kutumbukia katika shimo linalokisiwa kuwa na kina cha 30cm, na kusababisha taharudi kwa abiria 36 waliokuwemo ndani ya ndege hiyo.
 
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Messages
18,993
Points
2,000
Geza Ulole

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2009
18,993 2,000
Happened At Wilson Airport last year too...

 
babayao255

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
1,155
Points
2,000
babayao255

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
1,155 2,000
Uzi kama huu huwezi waona
 
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
10,506
Points
2,000
joto la jiwe

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
10,506 2,000
Middle income kwa maneno!
Huo ndio ugonjwa wao mkubwa, kwao kitu muhimu ni kupata sifa na kujihisi wapo juu muda wote. Maisha yao yametawaliwa na "Show off", kuliko uhalisia.
 
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2018
Messages
4,871
Points
2,000
Kunde Ekeke

Kunde Ekeke

JF-Expert Member
Joined Feb 5, 2018
4,871 2,000
Siji tena Kenya nitamwambia wanjiku aje kwa buss
 

Forum statistics

Threads 1,326,739
Members 509,585
Posts 32,233,120
Top