It is never too late. Nina uhakika JF itafaidi kutokana na uamuzi wako wa kujiunga. kumbuka kusoma JamiiForums Disclaimer and Rules
Welcome!
Kwanza nyinyi ndio nawavizia. mnachakachua hadi utambulisho??? 😛hoto:Afu mod ww usije ukaniwia mkali mimi eeh? Kumbuka uchakachuaji wote tuliowahi kufanya kwa ushirikiano,lol!
Mgeni karibu sana.
Sawa mkuu.Ckujua kama kuna mitandao ya maana kiac hichi hapa TZ, nailaumu nafc yangu kwa kukosa ufuatiliaji wa mambo yenye maana na manufaa ktk kukuza upeo wa kufikiri na kuchanganua mambo, all in all, nawaomba great thinkerz mnipokee kwa mikon0 yote mlionayo
Halafu weweAfu mod ww usije ukaniwia mkali mimi eeh? Kumbuka uchakachuaji wote tuliowahi kufanya kwa ushirikiano,lol!
Mgeni karibu sana.
i lyk it, tnx.