Soma tena sijazungumzia marafik hapo nimesemea tabia ya watumiaji wa whatsapp especially wanawake kwann waaficha status zao.....ili iwaje, kwann wasiwe honest tuUkiwa na marafiki wa aina hiyo inaonyesha pia wewe ni mtu wa aina gani!
Kwa kifupi hata wewe unafanana nao vinginevyo usingepoteza muda nao!
Kwan hoja yangu ipo wapi wadhani, namaanisha mtu anampenzi wake inakuwaje anaweka status ya uongo, nini anajaribu ficha hapoUmeniwahi aisee.
Na hata akificha wewe inakuhisu nini? Unless awe demu wako,wengine muache tu. Maana sikumbusha last seen yangu niliitoa lini
Speaking about yours,sio mahusiano ya wengine huo ni umbea..Kwan hoja yangu ipo wapi wadhani, namaanisha mtu anampenzi wake inakuwaje anaweka status ya uongo, nini anajaribu ficha hapo
Kama mzungu alikosea kuweka hiki basi vichaa,lakini kama aliweka basi purposely basi wewe ndio mshamba.This sounds personal to you.......una hii shida kwani?!
Share nasi tujue huwa ni kichaa gani kinawasumbua hadi mnakuwa na tabia za kiwiziwizi tu
Huchelewi kusema bunduki ilitengenezwa kwaajiri ya kuua watu wazuri na wabaya......Kama mzungu alikosea kuweka hiki basi vichaa,lakini kama aliweka basi purposely basi wewe ndio mshamba.
Soma tena sijazungumzia marafik hapo nimesemea tabia ya watumiaji wa whatsapp especially wanawake kwann waaficha status zao.....ili iwaje, kwann wasiwe honest tu
Kumradhi naona akili yako imebebelea mawazo ya hasira badala ya uelewa.Ndio maana bwana yule kawaibia trillion 1.5 sababu anajua kabisa hawa wajinga hakuna cha maana wanachowaza zaidi ya kufuatilia upuuzi kamaa huu wa status za kwenye watsapp kwa watu wasiokuhusu.
Na tena kama mkiendelea kuwa na akili hizi za kufuatilia upuuzi na kuacha mambo ya msingi next time awaibie bajeti nzima kabisa.
Kwan wewe ukiwa na mpenzi then unatext nae whatsapp utahitaji shilingi ngapi kuiona status yake kila unampomcheki?!
Sasa wewe unaishi kimaigizo, hivi kweli mtu afanye kitu kama hicho then uone ni kawaida kisa umejenga hisia za kujiamini......?!Mpenzi wangu hawezi kufanya hivyo, kwa maana ananiamini na mimi namuamini hivyo sijawahi kushuhudia wala kujali kuhusu hilo la status ya whatsapp.
Sasa wewe unaishi kimaigizo, hivi kweli mtu afanye kitu kama hicho then uone ni kawaida kisa umejenga hisia za kujiamini......?!
Ni kweli madam......ila sasa ni jinsi gani unatumia huo uhuru, ndo wadau wanahoji .Hata kwa wanaume pia hili lipo.Kila mtu ana uhuru wa kufanya atakalo ilimradi tuu havunji sheria!!
Matozi na marioo? Kuna Boss flani pale tumbaku Morogoro ni mtu mzim tu ila hako katabia anafanya, hata siku moja hujui kama yupo online ila ukituma text mnachat vizuri tu.Hata wanaume hii tabia wanayo ila nimeiona kwa matozi hawa marioo hawa ndio wanahiyo shida ila mwanaume anayejitambua kama mimi anaanzaje kuweka hayo makitu......?!
Kama simpendi mwanamke namwambia ajisumbue at her own risk!
Sometimes hawa viumbe ni wakuwasaidia namna ya kujua mipaka yao wakiwa katika mahusiano.....sio swala la kikoloni. Ndio maana now days mahusiano hayadumu sababu watu mnachukulia kirahisi sana swala la mipaka......[emoji23][emoji23] we mleta mada inaonesha kama una mke atakua anapata tabu sana......hv ni jambo la kuhoji hilo kweli??
Binafsi kwa maana siwezi kukuhoji wewe ukiweka hivyo its not my business at all. Ila when it comes to someone i am in a relationship with then that means serious business kwakweli.......sababu nipo nae na kuna mipaka.......Mkuu si ushasema hayo ni masuala binafsi mbona tena unayaingilia sasa