Habari zenu wajumbe!
Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi. Na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.
Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.
Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.
Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online....
Hii ina maana gani?!
Kwann unaficha status yako?!
Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?!
Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea....?!
Nikiona mtu wa aina hii naishia kucheka tu na sitamuamini hata siku moja hata kama yupo karibu nami kiasi gani. Unakuta sms za kawaida kuna password, whatsapp password, bado password ya jumla. Huyu siyo binadamu wa kuamini na haminiki, jaribu kuwafuatilia kwa makini utagundua kituUkiona demu simu ina mapaswed kibao kila faili, wasap kaficha last seen , au kaweka ile system ya kusoma meseji bila kuweka zile blue tick .... ..huyo ni ana mambo mengi km mchezaji namba sita.
Mkuu umenena point, kuna vijana wanadhani bado tuko mwaka 47.Mkuu,achana nao,tafuta pesa kwanza,,,yaani hawa viumbe bana,,mara umtext asifungue text,,na yuko onl,,,
Mkuu tafuta tu pesa kwanza,ukimsumbua sana ata ku block
Hahahaha hawa mbn ni rahisi kuwagundua tu.Nikiona mtu wa aina hii naishia kucheka tu na sitamuamini hata siku moja hata kama yupo karibu nami kiasi gani. Unakuta sms za kawaida kuna password, whatsapp password, bado password ya jumla. Huyu siyo binadamu wa kuamini na haminiki, jaribu kuwafuatilia kwa makini utagundua kitu
Samcezar yaani unaacha kufanya mambo ya maana kukuingizia kipato unachungulia status za wanawake whatsapp?Habari zenu wajumbe!
Awali ya yote iweke bayana kuwa matumizi ya social networks na umiliki wa account ya muhusika ni swala binafsi. Na chochote anachofanya na hiyo account ni totally up to yeye.
Ila inapokuja swala kuwa responsible na accountable kwa matumizi hapo ndipo walakini huanza na kuhoji ustaarabu wa muhusika.
Kuna mwenendo umeanza kushika kasi hivi sasa tena zaidi ni kwa upande wa wanawake. Tabia ya kuficha status ya kumuonyesha kuw yupo online ama la.
Unakuta mtu ameweka whatsapp status last seen ni mwaka jana ila yupo hewani, au anaficha status na inaonyesha kuwa hayupo hewani muda wote lakini kumbe yupo online....
Hii ina maana gani?!
Kwann unaficha status yako?!
Ni nani anakufanya uweke usiri wa kiai hicho ma kwann?!
Je, tukihoji mwenendo wako kitabia tutakuwa tunakosea....?!
Pesa ina nafasi yake lakini pia mahusiano yana nafasi yake.....Samcezar yaani unaacha kufanya mambo ya maana kukuingizia kipato unachungulia status za wanawake whatsapp?
Kwa hyo samcezar we umekuja duniani kuchungulia status za wanawake kwenye whatsappPesa ina nafasi yake lakini pia mahusiano yana nafasi yake.....
Ukiamini kuwa umekuja duniani kutafuta pesa tu, naomba ufanye tafakari upya, na ujaribu kujiuliza nani alikuagiza kuwa duaniani tumekuja kutafuta pesa....
[emoji23][emoji23][emoji23]ndo hapo saMkuu kwani usipoiona hyo status unadhurika nn