Daima naamini hamna watu wanaokutana kwenye hizi sosho nertworking wakafikishana mbali
Kwanza naona ni vigumu kumantain kule kuheshimiana kati yenu kutokana na mazingira mliyokutana
Love doesnt ask why..hatukatai ila sio mbaya kujiuliza swali la kizembe kama hili; mtaani,kazini,chuoni na jamii zoooote zinamzunguka hakuona wa kumfaa mpaka alipokuona wewe kwenye blog!!!!!
Sanasana either she ataliwa MWILI au he aliwe MALI
Correct me with concrete evidence if am wrong.
Baba paroko anatafuta kadem
nimejiuzulu kuingia MMU kuanzia leo
Aaahhh wapi wewe nabii wa kichina....
hebu hamia huku chini tuongee mtumishi!!!
^^
Endelea mbele lakini with utmost care!
^^
huyu lusungo ni anachosha kila thread kuquote watu
nishmwambia aanzishe thread na awaombe mode iwe sticky tu
Si unajua valentini inakuja?
Sasa ndo nini kujiuzulu/
Ukijiuzulu na mimi najiuzulu
Tena mimi najiuzulu kuingia JF kabisaaaaa!!!!!!!!!!
naomba tusitafutane undani!!
Aombae hupewa....
nami nakuomba
unaniomba nini nikupe?
Tuongee pembeni naona aibu kutaja hapa....
sasa Baba Paroko na valentine wapi na wapi
hayo mambo atuachie wanakondoo wake
mie mwenyewe najiuzulu nitakuwa nakuja as guest
Afadhali kwa kutupa mfano halisi uhusiano chanya kwa njia ya
mtandao. Hiyo ndo maana ya muujiza, kutokea usipotarajia.
Kikubwa kumpima kama unavyopima unaokutana nao sehemu zingine. Mchakato wa maisha umebadilika sana, watu tunaonana na watu wapya hapa zaidi kuliko hata mtaani au kazini.
for sure....kila mtu ana historia yake katika maisha,hata siku moja usitake kufwata historia ya mwenzi.eti kisa alitapeliwa mtandaoni na wewe pia utatapeliwa.unachotakiwa kufanya ni kujipa nafasi umfahamu huyo mtu unaetaka kumkabidhi moyo wako.ukipata amani ya moyo go for it.
Himidini ushawahi ku-date mtu uliempata online?